kaburungu JF-Expert Member Mar 9, 2011 3,684 6,847 Mar 13, 2016 #2 Nimecheka sana!! Roho ngum sana kwa baadhi ya watu.
C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 Mar 13, 2016 #3 Yeah! Ndivyo tulivyo, mwenzio akipata unachukia na akikosa unafurahi.
mwanadome JF-Expert Member Jul 29, 2015 4,936 5,300 Mar 13, 2016 #4 Duuh,ndo maana ni vigumu sana dunia kua mahali salama kuishi
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 128,575 154,737 Mar 13, 2016 #5 Hakuna anayependa mafanikio ya mwingine.. kila mtu anataka awe yeye kwenye hali ya mafanikio... ukiporomoka watu hufanya sherehe...
Hakuna anayependa mafanikio ya mwingine.. kila mtu anataka awe yeye kwenye hali ya mafanikio... ukiporomoka watu hufanya sherehe...
Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,963 3,675 Mar 13, 2016 #6 Mgirik said: View attachment 329327 Click to expand... SHARE NDIO WALOGUSWA ZAIDI
Warren T JF-Expert Member Dec 5, 2014 664 409 Mar 13, 2016 #9 Mchumba said: Inauma sana aiseeee. Kha Click to expand... Mambo Mchumba?
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 31,415 38,698 Mar 13, 2016 #10 Yapo mengine mtu anatuma update za msiba, wewe unalike ni kutojua unachofanya au vip sjui.