ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 951
Vjana hawa ambao wengine wana "malapa" wanatarajiwa kukabiliana ba vurugu kule Mtwara..hakika ikitoke vurugu miji na vitongoji vyote vya Mkoa huo wataweza kweli? Hivi tujiulize kama ikitokea Tanzania nzima kuna vurugu kwa haina hii ya Jeshi la Polisi udhibiti wake utakuwaje??