Hawa 'Maprince' wanaendeleaje?

....hawa waliomba kugombea, wakapitishwa na chama chao, wakafanya kampeni, wengi wa wapiga kura ktk majimbo yao wakawaelewa na kuafiki kuwa wanafaa kuaminiwa kuwa wawakilishi wao, wakawapa kura...hakuna u prince hapo kamanda, ila tu kama demokrasia unaitafsiri kivyako ktk kujiliwaza, au chuki binafs, au wivu....au "xxx"
 
Mbona safari hii wameongezeka sana? Ona huyu prince Warioba na princes Bulembo aliyekwisha pitishwa viti maalum. Ccm si ya wote bali ya wachache wenye nayo. Bora kife tuanze mwanzo.
 
Mbona safari hii wameongezeka sana? Ona huyu prince Warioba na princes Bulembo aliyekwisha pitishwa viti maalum. Ccm si ya wote bali ya wachache wenye nayo. Bora kife tuanze mwanzo.

Nikisikia viti maalum sijui najisikiaje,kizembezembe tu mtu ananyaka 8M+ kwa mwezi. UKAWA waingie wafute hizi kitu.

Uwoya aliishia wapi?
 
Anakuja Prince mwingine huko Ulanga Mashariki ehehehe
 
Nikisikia viti maalum sijui najisikiaje,kizembezembe tu mtu ananyaka 8M+ kwa mwezi. UKAWA waingie wafute hizi kitu.

Uwoya aliishia wapi?

Uwoya alishinda kwa kapu la vijana!Kama CCM watapata wabunge wengi wa Majimbo na kura nyingi za U Rais basi tutamuona Uwoya na Juliana Shonza Dodoma

What a hectic shame?
 
Last edited by a moderator:

Kumbuka Bwana Mdogo inasadikika ni MJOMBA...................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…