Ili ni tusi na udhalilishaji wa hali ya juu sana, hiyo bendera (Confederate flag) ilitumika USA kipindi cha biashara ya utumwa na ilikuwa ni alama ya slave masters. Hapo jamaa kafanya makusudi tuu kuwadhiaki watu weusi
Kuona hapo,inahitaji mchicha tena na supu yake kutwa mara tatufoto shop hiyo, hizo picha haziusiani.
Kweli Kabisa ni Photoshop ukiangalia kwa makini utaona hao blacks wana kivuli lkn huyo mzungu hana wakati picha imepigwa wakati mmoja, halafu huyo mzungu aliyeketi hana habari wakati tukio la Udhalilishaji Kama hilo linaendelea mbele yake hii inakupa picha ni matukio zaidi ya mawili yaliyounganishwa.foto shop hiyo, hizo picha haziusiani.