Hawa mademu wa zamani wananisumbua

Hawa mademu wa zamani wananisumbua

notifeki

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
402
Reaction score
283
Tangu nianze kupiga pesa ndeyfuu mademu walionipa tabu kitambo wananitumia mimeseji na kunipigia simu eti nimewatupa. Hawa vimeo sijui hawajitambui nafasi zao au?
 
sisi tufanyeje sasa mkuu?
kama vp wameze mmoja baada ya mwingne!
 
tumeshajua unapiga pesa ndefuuuuuuu kama kiwanja cha mpira,wagawie kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom