Hawa mabinti wa uswazi tabu sana jamani

Nilipata Mmoja mamaee leo nimechukua namba Kesho anaanza kuumwa...Sema nikamvumilia tu anasema nataka chips nampelekeaa...akija geto kazi anafanya ilaa Nyampu hataki kutoaa...Nikamlazimisha akanipa nikaonja viwili aiseee hakuaminii... Hata msg sikujibuu
 
Aliniuliza unafanya kazi wapi nkasema sina akauliza umepanga au kwenu nkasema kwa Shangazi akasema sa utaweza kunihudumia?nakamuuliza unataka nyumba gari au kitu akasema nikiwa na shida na vocha na ham ya chips nkamwambia usijal
Hahahaha.

Nyie watu bhana..
 
acha kujisifia ujinga nyau wewe
Nilipata Mmoja mamaee leo nimechukua namba Kesho anaanza kuumwa...Sema nikamvumilia tu anasema nataka chips nampelekeaa...akija geto kazi anafanya ilaa Nyampu hataki kutoaa...Nikamlazimisha akanipa nikaonja viwili aiseee hakuaminii... Hata msg sikujibuu
 
hii yako haifanani na aliyosema mtoa mada kwenye hiyo post. Btw naomba nikutembelee
Sio chai naweza kukubali.

Mimi nilishakutana na situation...unafahamiana na mtu siku za siku unamkaribisha nyumbani.

Unampa uhuru wa kujihudumia chochote wakati unafanya taratibu za kula au mambo mengine... Mtu anafungua yoghurt ya 1kg anaila kwa kijiko akifika katikati anashindwa anairufisha.

Sasa unajiuliza huyu anaakili au anatumia uji kufikiria..nani ale makombo yake...ameshindwa kumimina sehemu nyingine..
 
Karibu saana.

Sasa unafikiri huyu anayefanya hivi atashindwa kufanya vile.
Nikuje lini?
Hiyo huwa inatokea ukiwa na njaa sana au ukiwa na hamu na kitu. Kwa mfano ukiwa na njaa unaweza kupakua chakula kingi ukijua utamaliza kulingana na njaa uliyonayo, ukifika kati umeshiba. Ndio kilichompata huyo mke mwenzangu
 
Weekend.

Hapana sio njaa wala nn ni papara tu. Sasa kama nipo na marafiki si unaniabisha...nitaficha wapi sura?
 
thubutu, kuna mwanaume anakubali kumwacha mwanamke bila kumkula?
Ndiyo maana Mimi mwanaume nikishamsumbua na kumzungusha sana, huwa nafikiaga maamuzi magumu ya kutokumpa kabisa.
Yaani unampa mtu ukitoka hapo ndiyo basi mapenzi yameisha, inaumiza.
 
Sasa wewe si ndiyo unatakiwa uwe unamwelekeza?
Okay sasa nimekuelewa.....unataka mwanamke mwenye ujuzi, fundi si ndiyo? Kwa kifupi unataka mwanamke aliyetumika sana. Ndiyo ufundi anaupata huko
wengine hawafundishiki... Kuna demu mmoja mchagaa from experience kabisa namuelekeza leoo Kesho anataka style moja hiyo hiyoo.. Tulidumu mwaka lakini Nilikuwa sina hamu nae kabisaa... hafundishikii yanii..!!
 
Back
Top Bottom