Hawa mabinti wa uswazi tabu sana jamani

Mh! Mi ninadhani kila mahali kuna faida na hasara zake. Ukweli mimi kuna vitu navipenda kwa wadada wa uswazi, kwanza kukosa nyodo na kutotaka makuu. Hao wa kishua, unakuta ukitaka kumpiga mikato fulani, malalamiko kibao utasema unambaka. Wa uswazi kwakweli burdani, mathalani, popo kanyea mbingu, twende, kifo cha mende twende, mbuzi kagoma kwenda twende, kuna nazi twende jumlisha mabuno ya kufa mtu. Pia, wao wanapatikana 24/7, siyo hawa wa masaki, unataka kumfyokoa utasikia , darling naenda kumpokea dad airport. Shexzxx kabisa.Ukumbuke mara nyingi wanaume hatutaki challenges toka upande wa pili. Basi mimi nikiwa na wadada wa uswazi burdani.

Kuhusu usafi, nakupinga. Wewe umekutana na watu wachafu tu. Wadada wa uswazi wanajua sana usafi. Anaweza asivae nguo hizo tunazoona za kishua, lakini kuhusu utaratibu wa kutunza mwili kwa kufuata maelekezo ya mabibi na mababu wanajua sana. Dada wa uswazi ndo wanajua kuwa mkimaliza gemu, kuna vigezo na masharti ya usafi. Ndiyo wanajua ile miiko ya asubuhi kuamkia kuoga bafuni kabla hajapika chai. Hujazungumzia kuvaliwa kanga moko na shanga. Hao wa kishua kanaweza kulala kitandani na kuamka saa tano kananuka mtombo wala hakajali.Kazi yao kuwa na vimaneno vya kukopi kwenye series na soap opera, mfano, baby, honey, hubby, my love n.k.

Uswazi mdumu zaidi

Mamaee!

Watu mmevurugwa!
 
Mwanaume wa kujisifusifu na kujikweza kweza nae ni tatizo kwenye uso wa dunia
 
Ukimuona mwenzako anaonyesha tabia ambazo hujazizoea, ili mradi tu hajakurushia ngumi au kukutukana, muombee kwa Mungu ili maisha yake naye yaje yafananane na ya kwakohuko mbele ya safari. Maisha yake yakishakuwa hivyo, na tabia zake nazo zitabadilika na kufanana na zile unazoozipenda, au zitafanana na zile za kwako. Ukimuona mtu ana maisha magumu, mtakie heri kwa Mungu, usimponde. Usikute huyo aliyekuja na marafiki zake hao, alikuja nao kwa sababu pengine walimwambia kuwa usiku uliopita walilala njaa, sasa naye kwa kuwahurumia, akawazuga kwa kuwaambia kuwa twendeni kwa rafiki yangu angalau leo mtapata chochote. Binadamu wa kawaida unatakiwa ukose amani pindi unapomuona mwenzako hayuko kwenye hali nzuri kama ile ya kwako, wakati hata ya kwako nayo si nzuri sana. Mh. Dr Reginald Mengi (RIP) siku zote alikuwa anatufundisha kuwa hivyo
Mkuu nakupa point,nimepata kitu kwenye hii comment yako mkuu,binadamu kila siku tunajifunza aisee
 
Well said boss

Back
Top Bottom