Hawa mabinti wa uswazi tabu sana jamani

Sijawai ona watu wa ajabu kama wale mi pesa ya kuwalisha wala sio ishu ila wamekuja kishamba sana pupa za waziwazi Mtu anaagiza ice cream Mara juis ya embe Mara maziwa Mara nifungie pepsi duh
Hahaaaa
 
Back
Top Bottom