Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Wanajamvi:
Nauliza: hivi hawa ma-DC kama hawapo kikatiba, yaani kazi zao hazijaorodheshwa ndani ya Katiba, jee Budget yao na mishahara inatoka wapi? Ni hela za waliopa kodi wote? Nasema hivi kwa sababu wanaonekana zaidi kufanya kazi za kichama za CCM -- hasa wakati wa chaguzi.
Kuna wengine nasikia wanashughulikia mambo ya uchawi kwa niaba ya CCM, katika maeneo yao!
mimi nasdhani ni qwakati muafaka wa CDM kuwaendea maofisini na kuwatimuwa wote.
wanajamvi:
Nauliza: Hivi hawa ma-dc kama hawapo kikatiba, yaani kazi zao hazijaorodheshwa ndani ya katiba, jee budget yao na mishahara inatoka wapi? Ni hela za waliopa kodi wote? Nasema hivi kwa sababu wanaonekana zaidi kufanya kazi za kichama za ccm -- hasa wakati wa chaguzi.
Kuna wengine nasikia wanashughulikia mambo ya uchawi kwa niaba ya ccm, katika maeneo yao!
Mimi nasdhani ni qwakati muafaka wa cdm kuwaendea maofisini na kuwatimuwa wote.
haya ni mazao ya vurugu au kupigania haki?chadema wamkamata mkuu wa wilaya igunga
Wako TAMISEMI. Mishahara yao iko Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.ni ofisi ya rais
haihisiani na mada, please nenda kwenye mada husika kachangie huko. La sivyo nakung'a cheo kimoja
katibu mkuu wa ccm ndiye anayewachagua wakuu wa wilaya na kumpatia majina hayo Rais. kwahiyo wakuu wa wilaya ni watumishi wa ccm wakiwa chini ya mwavuli wa serikali kwahiyo ccm inatumia pesa za walipa kodi kiaina kuwalipa watumishi wake.mfano mzuri wa hili ni kukamtwa kwa fatma kimario huko Igunga. Jiulizeni siku zote ni vigezo gani vinatumika kuchagua mkuu wa wilaya na nafasi hizi uwa zinaombwa wapi??