Hawa jamaa wanaongoza kwa mahusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa jamaa wanaongoza kwa mahusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIQO, Feb 8, 2011.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Katika purukushani zangu mitaani nimekumbana na hawa jamaa.
  Wanaongoza sana kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana/wanawake;-

  Vinyozi hawa wanawanasa sana mabinti kwa mapowder na kuchonga nywele

  Madreva tax hawa wanawanasa sana wake za watu nipeleke sehemu flani jamaa anaimba huko huko

  Wasagisha mashine hawa nao balaa mahouse girl hapa huwa hawachomoki hata wake za watu

  Konta wa daladala hawa nao dah mambo ya staff kwa mabinti ni balaa

  Madereva wa malori hawa jamaa kila kituo atakapo funga break amewekeza

  Wauza chipsi dahh hawa jamaa kwa gear ya zege na kidali wanamega sana

  Wauza genge jamani jamani usiombee awe mpemba atamega mtaa mzima
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kheee Kheee Kheeee :laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Admins na Moderetaz....
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mafundi chelehani vp? Wapaka kucha je? Mafundi viatu :clap2:
   
 5. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Weeeeh!
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Loh!!!! Wote hao ongeza kwenye listi bora hata mafundi viatu hao wapaka rangi balaa kuna sehemu moja Sinza nafikiri panaitwa Madukani dah unakuta dada zetu wamewawekea miguu juu hawa wapaka rangi jaribu siku moja upite maeneo hayo uone
   
 7. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Maboss bwana we acha tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....... waheshimiwa je? kuna mheshimiwa mmoja wa chama chetu fulani fulani demu wake alimwingiza kwenye kale kamchakato ka viti maalum nadhani baada ya kufanikiwa kumega demu hajapata kitu ila bado yupo na mheshimiwa sana mbuge wetu kijana sana mtanashati sana..........
   
 8. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  umewasahau madaktari,,,, hawa watu ni balaa,,,,, yaani ile kimya kimya....
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  mmewasahu madereva wa waheshimmiwa/maboss jamani.....
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaa, Boss anasafiri na kimada akifika mjengoni yupo busy na vikao dereva anatunza kitu mchana kutwa :laugh: :laugh:
   
 11. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mmesahau walimu wa 'vyuo vya dini' mtaani
   
 12. gambakuffu

  gambakuffu JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Mhh..hii kali
   
 13. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #13
  Feb 8, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  he ndo wa kina nani tena ............maustaaadhi na mafather???????
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Wenye baa, yaani ili aajiriwe baamedi lazima 'aonjwe'...
   
 15. CPU

  CPU JF Gold Member

  #15
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha ha ha ha
  Jafa-laimu, Mista tuuu na Shailozi banji :roll:
   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye tuuuu nimekosea, weka ONLY
   
 17. CPU

  CPU JF Gold Member

  #17
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mmesahau madalali wa ma-hausigeli na waendesha pikipiki
  bila kusahau mapruduza wa muziki, watengeneza muvi za kibongo na waigizaji wao
   
 18. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wauza nguo je?
   
 19. S

  Strategizt Senior Member

  #19
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35

  Mh umefanya reseach yako wapi????
   
 20. khauka

  khauka Senior Member

  #20
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Malecturer vijana nao ninoma.....
   
Loading...