Hawa Jamaa ni wakutumbuliwa kabisa

Hawa Jamaa ni wakutumbuliwa kabisa

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,354
Naomba mkuu wa nchi awatumbue Tanesco Mkoa wa Ruvuma, maana hii adha ya umeme Sasa imekuwa kero kubwa, umeme Mara umewaka baada ya dk 5,umezima hivi shida ni nini kwani?, Na kama Kuna tatizo Kwa nini usitueleze wananchi tujue moja?, Ebo kueni serious basi na mambo mnayofanya, na kama kunatatizo basi zimeni rekebisheni then tuwashieni moja Kwa moja, sio mnavyotufanyia mnaboa sana.
 
Umeme wa Kibulang'oma ni shida sana. Hivi Gerson hajaripoti tu kwa mkuu wa kaya?
 
Umeme unahitajika upelekwe Tanga kwenye kiwanda cha Backhresa asindike matunda Eboo
 
Matarawe upo?nakumbuka miaka ya nyuma uwanja wa sabasaba kulikuwa na transformer yao mvua ikinyesha hawawezi isogelea so km kuna mgao umewakuta basi mtakaa na giza hd maji yakauke na km ndo zali imechesha wakati hawajakata mtafaidi Umeme hd maji yakauke hata 2 wkes vp siku hizi?
 
songea sawa lakin mbinga umeme hauna wenge
 
Back
Top Bottom