Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Jamani siyo kwamba nina utani na watu humu ila nimekumbuka nikacheka.
Hao madaktari 6 watanzania walioombwa na WHO kwenda Sierra Leone kutibu Ebola na kulipwa 2m kwa siku wanaitwa majina haya :
1. Dr. Esta Kokugasha Mukasa - kakataa kwenda
2. Dr. Makame Seif Makame - kakataa
3. Dr. Masanja - kakataa
4. Dr. Rutabanzibwa - kakataa
5. Dr. Ngonyani - kakataa
6. Dr. Lyimo - Kakubali