Hawa jamaa bana!

kwani push ups huwa zinapigwa gym tu....
hapa sipo kwa ajili ya chama fulani maana mi si mwanachama wa chama chochote ila hebu ona mtu anafikia hatua ya kuweka kadi ya chama kwenye ugali unadhani ana akili huyo... kama sio ujinga ni nini basi

Kwahiyo ata shehe au padri anaweza kupiga pushup akitoa mawaidha. Ni swali tu. Pushup ni mazoezi, sio maonyesho au sera kama wanavyo fanya sisiem. Na mazoezi yana wakati maalum na mahala maalum.
 
kwani push ups huwa zinapigwa gym tu....
hapa sipo kwa ajili ya chama fulani maana mi si mwanachama wa chama chochote ila hebu ona mtu anafikia hatua ya kuweka kadi ya chama kwenye ugali unadhani ana akili huyo... kama sio ujinga ni nini basi

Wewe ni gamba la CCM! CCM OUT!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…