Hawa jamaa bana!

hao watu ni wapumbavu kupindukia...
akili hawana...
kila jambo na wakati wake...
kuna wakati wa siasa na wakati wa kula....
 
Sasa unafikiri watu wakishaavuta bidhaa inayopaikana kwa wingi Meru, Tarime na mbeya wafanye nini? kuna la kuuliza hapo? Watanzania tuwe makini
 
hao watu ni wapumbavu kupindukia...
akili hawana...
kila jambo na wakati wake...
kuna wakati wa siasa na wakati wa kula....
Umesahau kuongezea 'MALOFA'.
 
Na hapa kulikua gym

kwani push ups huwa zinapigwa gym tu....
hapa sipo kwa ajili ya chama fulani maana mi si mwanachama wa chama chochote ila hebu ona mtu anafikia hatua ya kuweka kadi ya chama kwenye ugali unadhani ana akili huyo... kama sio ujinga ni nini basi
 
Nakala ya tusi hilo ikurudie mkuu...kwa hisani ya wapenda mabadiliko!

kama umeona hilo ni tusi basi samahani sana....

lakini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kufanya huo utoto, kwani wakikaa wale kistaarabu wamalize wakaendelee na siasa watapungukiwa nini?
hata ingekuwa ni kadi ya ccm bado nisingekubaliana nao chakula kina heshima yake bwana.
 
Kuna watu wako categorized as first rate intelligent hawa wana uwezo wa kufanya hata mambo kumi kwa wakati mmoja bila kuathiri ufanisi wa jambo lingine...uwe unafikiri nje ya box si lazima ukariri unavyodhani ni njia sahihi ya utendaji wa jambo!
 
ok sijawakataza kufanya mnachotaka... nimetoa tu mtazamo wangu...
kama unaona wako right it's better for you.
 
Waliponiua mimi kuweka bendera kwenye chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…