Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Waliombaka yule mdada kule DAKAWA na kumrekodi wakimdhalilisha ndio hawa.
Ila kwa sasa bado wanaitwa watuhumiwa, may be wanaweza kushinda kesi mahakamani, si unajua kibongo bongo.......
Wamegegeda online kabisa aiseeee.Hao jamaa ni mamafia.
Mkuu ulitegemea uwaone na mapembe nini hahhahaaInashangaza hawa jamaa ni watu wa kawaida kabisa lakini wameweza kufanya unyama wote ule!!
Mkuu ulitegemea uwaone na mapembe nini hahhahaa