NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Umemsahau BujibujiHawa ni baadhi ya wana Jf ambao katika jukwaa la picha ndio wamenifurahisha kwa picha nzuri na wewe kama unao wa kwako unaweza kuongezea.
1.MBUZI MZEE
2.MZIZI MKAVU
wewe unamjua Allien au unamsikia? hao wawili hutoa quantity, ila huyu jamaa ni player, he has taste like a real african man, jamaa in terms of quality anashika namba moja wengine wanafuataHawa ni baadhi ya wana Jf ambao katika jukwaa la picha ndio wamenifurahisha kwa picha nzuri na wewe kama unao wa kwako unaweza kuongezea.
1.MBUZI MZEE
2.MZIZI MKAVU
Hawa ni baadhi ya wana Jf ambao katika jukwaa la picha ndio wamenifurahisha kwa picha nzuri na wewe kama unao wa kwako unaweza kuongezea.
1.MBUZI MZEE
2.MZIZI MKAVU
ingekua Bungeni ningesema Mh. Marire nashukuru kwa kuniona..........ningetaja wote we ungemtaja nani mbona hata AMAVUBI hatujamtaja ,tanx mkuu
Kama muanzisha uzi hautomtaja Allien basi thread yako itakua batili. Tena awekwe namba Mbili maana namba moja Mbuzi mzee hana mpinzani. Lakini tusiwasahau watu kama Young Master, Silent Whisper, Kimbweka na Rungu hawa nao ni wakali wakuipamba JF katika lile jukwaa letu maalum kwa watu maalum.