Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 719
Ghasia nilisoma nae Mzumbe university mpaka leo sielewi alipenyaje hadi kupata hadhi ya kuingia baraza la mawaziri....empty set yule
Ghasia nilisoma nae Mzumbe university mpaka leo sielewi alipenyaje hadi kupata hadhi ya kuingia baraza la mawaziri....empty set yule
Waziri anaye shughulikia wizara ya TAMISEMI amesema ameambiwa hana uwezo wa kuiongoza TAMISEMI kawni wizara hiyo inahitaji mtu makini mwenye weledi na nikubwa mno.
Taarifa yake ilikuwa kama utetezi kwamba hasimamii utendaji wa halmashauri na hasa wakurugenzi wake.
Amesema yeye anajitahidi kuwauliza wabunge kama halmashuri zao zina wakurugenzi mizigo,anasema wengi wa wabunge wamemwambia halmashauri zao zina wakurugenzi wazuri tu,sasa angechukueji hatua.
Hii imekuwa kama kujibu mwito wa yeye pamoja na waziri Mkuu Pinda kufukuzwa kazi kwa utendaji usio ridhisha.Wabunge walisema Pinda na mama Ghasia hawatoshi kenye nafasi.
mwenyekiti wa kamati ya hesabu za serikali za mitaa amependekeza mawaziri wa tamisemi wajiuzulu nafasi zao kwa kushindwa kusimamia wizara hiyo.
Ghasia nilisoma nae Mzumbe university mpaka leo sielewi alipenyaje hadi kupata hadhi ya kuingia baraza la mawaziri....empty set yule
People are talking money,you are talking non sense
wewe unataka kujua alipenya vipi kwani wewe ndiye uliyekuwa unatunga mitihani ya mzumbe na kuteua mawaziri kwanza uko nje ya topic unaonekana kama unachuki binafsi na ghasia kuwa mtu mzima basi.
Hawa Ghasia na Pinda hawastahili sio wizara ya TAMISEMI tu bali hata Uenyekiti wa kijiji hawastahili. Cc: ritz, simiyu yetuWaziri anaye shughulikia wizara ya TAMISEMI amesema ameambiwa hana uwezo wa kuiongoza TAMISEMI kawni wizara hiyo inahitaji mtu makini mwenye weledi na nikubwa mno. Taarifa yake ilikuwa kama utetezi kwamba hasimamii utendaji wa halmashauri na hasa wakurugenzi wake. Amesema yeye anajitahidi kuwauliza wabunge kama halmashuri zao zina wakurugenzi mizigo,anasema wengi wa wabunge wamemwambia halmashauri zao zina wakurugenzi wazuri tu,sasa angechukueji hatua. Hii imekuwa kama kujibu mwito wa yeye pamoja na waziri Mkuu Pinda kufukuzwa kazi kwa utendaji usio ridhisha.Wabunge walisema Pinda na mama Ghasia hawatoshi kenye nafasi.
Yule si alikuwa anafundisha primary na Salma. Nchi haiwezi kuongozwa na marafiki wa ikulu halafu tukaendelea hata siku moja. Never....Ghasia nilisoma nae Mzumbe university mpaka leo sielewi alipenyaje hadi kupata hadhi ya kuingia baraza la mawaziri....empty set yule
Yule si alikuwa anafundisha primary na Salma. Nchi haiwezi kuongozwa na marafiki wa ikulu halafu tukaendelea hata siku moja. Never....