Hawa Erolink ni akina nan?

dawa yao kama wakikuajiri elolink unafanya kama miezi 6 then unafanya mishe na watu wa bank hapo wakutoe kwenye sytem ya elolink ili wasikukate hela kubwa
 
Vijana wakiTZ tubadilike, kulalamika tu haitotusaidia kitu tuanze kuchukua hatua na kutenda! Peleka hii kesi kwa wanasheria muandae tuhuma za kampuni ya udalali na kampuni iliyokuajiri mkawafungulie kesi mahakamani.
 


Mkuu ulichosema ni kweli tupu! Hiyo laki mbili wanayopewa ni utan, yan wanafanya hao majamaa ya voda wawagegede madada zetu kiulain sana yan, nahic wao wanashukuru ujio wa erolink, na sasa hv nasikia mishahara yao imepunguzwa tena, hvyo wengi walio chin ya hiyo kampun wanatafuta kaz sehemu nyingine
 

watu huchukua offer kwanza then harakati zinaanzishwa mkiwa ndani. kwani mshahara wa walimu haufahamiki kabla ya kuajiliwa na walimu wanachukua hiyo kazi? kisha wanaanza harakati za kudai nyongeza.
 

Duh wameshishiwa tena janga hilo na jamaa wanapiga mzigo kisawasawa yaani pale voda unaongea toka saa mmoja hadi saa tisa wimbo huo huo nyota reli na wengi wanakufa maskio bila msaada baada ya kuumwa zaidi ya kutaftiwa sababu ufukuzwe zambi iyo itawatafuna sana
 
matapeli hao wanatumiwa na voda na nbc kuwaexploit ma graduates ambao baada ya kula msoto mtaani wanakuwa hawana jinsi hata wakilipwa mshahara laki 2 kwa mwezi hawana jinsi.
 
Bwahaahaahaahah jaman mecheka mpaka basi


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Khaaaaaa 58%????????
 

Ilikuwaje kampuni ya aina hii ikasajiliwa? Yaani wanachukuwa nusu ya mshahara! Halafu katika kipindi chote cha maisha! Kwani huko kwenye taasisi ya usajili wa makampuni hakuna wenye akili timamu? Nisaidieni jamani.
 
Nilimuona Mwisho mwampamba one day akiwa mmoja wa watu wa erolink, ......nilijua ni wasanii baada ya kufanyiwa interview na mkaka mtanzania aliyesuka nywele..... Sikurudi kwao tena matapeli wakubwa na wanyonyaji.Elimu hawana kazi wanawanyonya wananchi.

Bado infinity communication kifo chake chaja.
 
naomba mnijuze hawa matapel wa mjini wanaoitwa erolink ni kampun ya nan?? serikal inatambua uwepo wake?? na hii dhulma wanaoifanya kwa vijana wa kitanzania serikal wanaijua???

Topic zenye akili kama hizi huwezi ona watu wengi wanachangia zaidi watu wanaangalia mambo ya CCM na CHADEMA tu. Na mashirika, kampuni, mabenki nyonyaji (VODACOM, CITI BANK, TIGO, CRDB) yanatumia vizuri fursa za namna hii. Vijana siasa tumeweka mbele kuliko kusaidiana kupinga unyonyaji kama huu. Kwa nini turuhusu mambo kama haya kutokea Tanzania? Haya makampuni mwanzo yalikuwa yanafanya kazi vizuri tu katika kutafutia vijana ajira lakini HRM kwa uroho uliopindukia ndio wakaanzisha upuuzi huu wa ku "autsource". Wizara ya kazi imelala, serikali imelala, usalama wa taifa umelala na vijana hasa wanaofanya kazi katika taasisi hizi nao wamelala hawana umoja. Tukatae unyonyaji kama huu katika nchi yetu.
 

hii inahic itakuwa ya vigogo wa chama tawala haiwezekan unyonyaj km huu ufanyike hlf serikal ikae kmya
 
Na nliwah kuskia km huko mbele ndo kutakua na system hii ya kuwepo kwa kampuni za kutafutia watu ajira. Km ilivo kwa kampuni za cleaning, guarding, housekeepers etc. Sasa Leo mtu unatoka chuo na degree yako uingie kwenye kampuni km hii ukitegemea mshahara wa laki 4 tena bila security ya kutosha.
 

mi najiuliza hiv m2 ukiamua kupiga mishe zako huwez kuingiza hyo 280 tatizo vijana wenzangu wanapenda sna security na ujiko kujulikana unafanya kaz voda kumbe upuuz m2pu
 
utapeli kila siku kama vile hatuna serikali. dunia ya leo ukiiba sana ufanywi kitu ila ukiiba kidogo unasotea jela
 
mi najiuliza hiv m2 ukiamua kupiga mishe zako huwez kuingiza hyo 280 tatizo vijana wenzangu wanapenda sna security na ujiko kujulikana unafanya kaz voda kumbe upuuz m2pu

Yawezekana ila wengn tunaogopa maisha mtu anaona kujitosa kivyake atasota sn so bora atumwe na mtu. Lkn kusema Kweli kujiajiri raha, uwe ushaamua kukinai tu na utachokipata hata km kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…