Hawa cuf wakoje?

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Messages
2,548
Points
1,195

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2010
2,548 1,195
Nashangazwa na hawa jamaa wa CUF,mwaka 2005 CDM waliruka angani kwa kampeni wenyewe wakaponda,katika chaguzi ndogo hasa ile ndogo ya busanda badala ya wao kufanya kampeni kisasa na kwa mahitaji ya mazingira wao wakakaa tu na kutegemea kufanya maajabu eti kwa kuwa 2005 walikuwa no 2,uchaguzi mkuu mwaka jana vyama viwili vikubwa vikaja na kampeni ya anga wao wakakebehi eti kuwa watu wako chini na watatuma kikosi kazi cha jeshi la ardhini na ndipo waliposhindwa vibaya kwa kupata kura kiduchu,haya igunga ndio hiyo na bado hawataki kubadilika japo walikuwa wapili mwaka jana baada ya rostam,na nijuavyo igunga ni katika majimbo makubwa sana geografically hapa petu nchini,lakini bado wanaponda matumizi ya chopa,nini lengo lao?
 

Forum statistics

Threads 1,355,557
Members 518,682
Posts 33,112,108
Top