Mkuu wasipo mpe kijana hela yake ntawataja tu.
The right time wil come and iwil speak openly..
Hey..fikiria kabla ya kuandika..niipeleke fb ili iweje?acha upumbavu na sijamwomba mtu anibembeleze sababu hata kupost sijambembelezwa na mtu..na kama wew ukimbelezwa unatoa usifikilie sote tupo hvo..nenda facebook ipeleke porojo zako,ukijiaanda ukiwa na fact njoo huku sasa,una bembelezwa useme unajoidengulisha au nawewe uko kwenye huo mgao jina lako limekatwa
Hey..fikiria kabla ya kuandika..niipeleke fb ili iweje?acha upumbavu na sijamwomba mtu anibembeleze sababu hata kupost sijambembelezwa na mtu..na kama wew ukimbelezwa unatoa usifikilie sote tupo hvo..
Na hata kma npo kwenye mgao sio vibaya kudai haki yangu.
Hey..fikiria kabla ya kuandika..niipeleke fb ili iweje?acha upumbavu na sijamwomba mtu anibembeleze sababu hata kupost sijambembelezwa na mtu..na kama wew ukimbelezwa unatoa usifikilie sote tupo hvo..
Na hata kma npo kwenye mgao sio vibaya kudai haki yangu.
huyu mlokole?Huu wizi mwingine ni too much sasa hawaoni hata aibu,i bet aliyekuwa anaendesha kipindi Harris Kapinga anahusika hapa
Hawa jamaa sijui wana matatizo gani..juzi kati walikua na kipindi/shindano la kumtafuta mtu mwenye wazo la kibiashara na mshindi angepewa milioni kumi,wafadhili walikua ni Nssf,shindano lilijulikana "kama ndoto za kitaa''jamaa mmoja anakaa maeneo ya pugu ndo aliyeshinda,wazo lake ilikua ni kurenew mifuko iliyotumika,sasa hawa clouds kwa uroho wa hela wanataka kumdhurumu pesa yake,wanamlazimisha afungue akaunti kwenye benki wanayoitaka wao,kisa ndo benki inayowapa mikopo,pia wanamlazimisha awape milioni tatu kwa maelezo kua wao ndo walio mfanya ashinde hiyo pesa kitu ambacho sio makubaliano yao,....clouds mpeni kijana pesa zake zot,acheni kuwanyonya vijana kwa sababu ya umasikini wao,mnawanyonya kwenye mziki naona hamjaridhika mmehamia na uku sasa..
huyu mlokole?
sasa unaleta hapa yanini siupeleke kwenye vijiwe vyenu vya umbea umbea,wewe umeleta uzi hapa watu wachangie weunaanza siasa kwahiyo hii ndo ilikuwa ahadi yako baada ya kukatwa kwenye mgao?wewe kama umeamua kutoa maovu ya mwage hapa sio mpaka utupe masharti kuna mwanao hapa wakumtolea masharti,nenda ukawadai wezi wenzio uliokuja kuwachana hapa sisi haya tuhusu