hawa ccm

Tovu

Member
Oct 21, 2010
8
0
hawa CCM wananini hivi unadhani CHADEMA wajinga kumkataa KIKWETE hata kama umeshinda kwa kura chache basi onyesha ukweli na sio kufuata ujinga mwingine sasa yanamtokea puani wabunge tumewachagua sisi na kama wanayoyafanya ni kwa ajili ya manufaa ya umma basi yaendelee wanaponifurahisha CHADEMA wote ni wana sheriawajua wanacho kifanya na wanajua muafaka wake utakuwa nini la mbolea zaidi ni kwamba safari hii KIKWETE kapata saze yake tunataka maendeleo kwa lazima na siyo hiyali hatutaki ufisadi huku wengine wkiendelea kula rumba
 
Back
Top Bottom