Hawa CCM ndiyo watakao tuletea Vurugu October 2015

Hawa CCM ndiyo watakao tuletea Vurugu October 2015

kwa akili zako finyu unataka kudai sasa hao waliowapiga ndio wana haki ya kutofuata mkondo wa sheria?
Wewe tujadiiliane tu kuitana akili finyu hakutakusaidia kitu.

Kama unataka kutoa ushauri kwa wote anza na waliopindua matokeo waambie next time wafuate mkondo wa sheria.

Mtu amekuja kuniibia unataka nimuache aibe kwanza ndipo niende polisi akili za wapi hizo.
 
Tuliombeeni Taifa..ili haki tu itendeke otherwise ...vibondo na vurugu
CCM wanatakiwa kutenda haki lakini hawataki! Kwa hiyo tubadili msimamo. Tuwaombe viongozi wa dini nchi hii waiombee ccm itende haki siyo kuombea nchi amani kwa sababu amani inavurugwa na ccm.

Halafu naushangaa ukimya wa tume ya haki za binadamu na utawala bora kunyamazia ufirauni wa ccm kwa mapingamizi yao na uchakachuaji.Tume yatakiwa itoe tamko!
 
..kwa anaefatilia kwa makini nyendo/matendo ya watawala atakua amegundua kuwa kuna resource immobilization ya kiwango kikubwa inafanyika chini kwa chini ikivihusisha vyombo vya dola...utadhani nchi inajiandaa na vita....haya yote yanafanywa kwa makusudi wakijua wanachokusudia kufanya....Ukienda huko jeshini mmeona wanajeshi wanapandishwa vyeo kwa kasi ya ajabu(ukilinganisha na kada nyingine kama ualimu)...huko polisi nako hivyo hivyo..na tumeona hata kwenye vyombo vya sheria na haki za binadamu watu wamewekwawekwa kwa kujauana....haya yote ni maandalizi yalioanza si leo....Yaani kwa ujumla state machinery zote ziko kwenye alart mode...utazani nchi inaelekea vitani....Hii si kawaida...

...mtakumbuka hata siku hizi ni rahisi sana polisi kutokea na kupiga watu pale panapokuwa na issue ya kudai haki kisiasa....bila kutoa mwanya kwa maridhiano...hata kwenye maandamano ya amani polisi hutokea na kupiga watu hovyo...na tumeona hata wanajeshi wanapangwa kuwekwa kwenye vituo vya kupigia kura za referendum....haya yanafanywa kwa makusudi kuwapora raia haki yao ya msingi.....

...uchaguzi wa mwaka huu utakua na machafuko mbaya..maana hawatakubali kushindwa kirahisi hawa..take my word....


Na ikatokea allahamdulilaah hawa jamaa wakishindwa, nikufukuza kazi type ya chagonja na wenzake wote kama sio kuwagadafi waapuuzi hawa.
 
CCM wanatakiwa kutenda haki lakini hawataki! Kwa hiyo tubadili msimamo. Tuwaombe viongozi wa dini nchi hii waiombee ccm itende haki siyo kuombea nchi amani kwa sababu amani inavurugwa na ccm.

Halafu naushangaa ukimya wa tume ya haki za binadamu na utawala bora kunyamazia ufirauni wa ccm kwa mapingamizi yao na uchakachuaji.Tume yatakiwa itoe tamko!
..tume hii hutaisikia inapiga kelele tena kuhusu yanayofanywa na watawala..kama hujafatilia tume hii sasa wamewekwa vibaraka wa watawala....

http://www.thecitizen.co.tz/News/Ki...irman/-/1840392/2582402/-/o3f51w/-/index.html
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom