Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,385 Reaction score 68,490 Sep 16, 2015 #1 Jamaa ni wabunifu Attachments 1442425248318.jpg 10.5 KB · Views: 1,045
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Sep 16, 2015 #2 WanapAtikana Ulikopiga picha
mylife JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 309 Reaction score 160 Sep 16, 2015 #3 Mussolin5 said: Jamaa ni wabunifu Click to expand... Vijana wananata na fursa... Iko vyema hii.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Sep 16, 2015 #4 nimeipenda hii
K KAMANDA MKUBWA JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 288 Reaction score 78 Sep 17, 2015 #5 Ni nzuri anaposubiri mteja anauza na bidhaa zingine, hao wapo Ruvuma
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,808 Reaction score 123,895 Sep 17, 2015 #6 Hizo Kondomu anatembea nazo kila siku kwenye jua kali zitakuwa bado katika ubora wake?! Hii ni hatari sana!!
Hizo Kondomu anatembea nazo kila siku kwenye jua kali zitakuwa bado katika ubora wake?! Hii ni hatari sana!!
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Sep 17, 2015 #7 Hii bidhaa aliyoandika mwisho inaonekana ni wale wa wanaofanya kazi 24hrs.
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,783 Sep 17, 2015 #8 Ana condom za aina gani?
Ramea JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 2,146 Reaction score 4,093 Sep 18, 2015 #9 jembe afrika said: Ana condom za aina gani? Click to expand... Rough Rider