Hawa askari wamepata mafunzo ya aina moja?

Dah mkuu acha kufuru.. hao weupe tunawalisha sisi waafrika kwa rasilimali zetu za madini na nyinginezo, ndo zinatoa mambo yote ya maendeleo ya teknolojia.. mi nadhani kikwazo cha kupiga hatua kwa nyanja zote kama uongozi bora kilikuwa ukoloni ambao mpaka leo upo..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…