Alibaba na aliexpress; Pamoja na mfumo wa alipayKiukweli mimi nina uzoefu na aliexpress mno sasa nimekutana na hawa alibaba wana vitu cheap mno!
Ndio ni waaminifu.Sasa wakuu hawa jamaa ni waaminifu??
- Njia ya malipo huwa imeandikwa kwenye bidhaa husika.Malipo yao unawalipaje?
Ndio bidhaa wanatuma bila tatizo.Vipi wanatuma bidhaa kweli?
Njia ya usafirishaji hutegemea na ukubwa wa orderWanatumia njia gani kutuma mizigo??
- Ndio utapewa taarifa zote za mzigo wako.Wanazo tracking number
- Alibaba ni mahala salama ambapo makampuni yanajitangaza utapeli hakunaVipi ikitokea nimetapeliwa pesa zangu?
- Sio bei halisi kwa baadhi ya bidhaa.Bei walizoweka pale ni bei halisi?Au ni waongo wa bei??
- Hii hutegemea njia ya usafirishaji itakayotumikaVipi mizigo na kutuma inachukua siku ngapi?
- Alibaba hapa JF tayari imejadiliwa sana:Huu uzi natumai utaelimisha mpaka wasiojua wajifunze
Nisaidie namna ya kununua bidhaa online, nahitaji sana ila sina jinsi kabisa. Nipe procedure zote mpaka kuwa mnunuzi rasmi mtandaon ikiwa ni pamoja na bank salama ya kutumia na muuzaji asiye na milolongo mrefu na mgumu kupata bidhaa zake..sio bei halisi muulize seller akwambie bei ya usafirishaji utachoka wanaweka bei za kuvutia wateja
lakini mimi naipenda ebay kabla haujanunua bidhaa unaukuwa umeshajua na bei ya usafirishaji na kama seller ana ship kwa nchi yako
wanaojua kuhusu alibaba watusaidie mana mimi naona upo complicated
Ni mambo unayotakiwa uyatimize kabla hujawa mnunuzi rasmi wa mitandaoni, na yupi muuzaji salama kwa sisi wageni wa mitandao ili nianzie angalau kasaa kamoja au kasimu cheap kidogo niwape mrejesho baada ya kufanikiwa.Alibaba na aliexpress; Pamoja na mfumo wa alipay
- Mmiliki ni mmoja
- Kama umejisajiri aliexpress, Hiyo username na passord ndio utazitimua KU-sign in alibaba
Bei za alibaba zinaonekana kuwa chini kwa sababu
- Ni bei ya bidhaa toka kiwandani, Ni bei ya jumla jumla
- Hakuna ghalama ya usafirisaji iliyowekwa
Ukitaka upate bei halisi ya bidhaa kwa alibaba fuata hatua hizi
- Fanya mawasiliano na seller
- Ili akupa CIP price kwa bidhaa unayohitaji.
Ndio ni waaminifu.
- Njia ya malipo huwa imeandikwa kwenye bidhaa husika.
- Ila waweza kufanya mazungumzo na seller - Ili itumike njia ya malipo utakayohitaji wewe.
- Kwa mimi huwa nachagua seller wa alibaba wanaokubali kupokea malipo kwa paypal na si vinginevyo.
Ndio bidhaa wanatuma bila tatizo.
Njia ya usafirishaji hutegemea na ukubwa wa order
- Kwa order chache huwa ni kwa njia ya DHL / EMS kutegemea na makubaliano yeno
- Na kwa order kubwa huja kwa njia ya Meli, Na BL unatumiwa mapema ili uanze taratibu za ufuatailiaji mapema
- Ndio utapewa taarifa zote za mzigo wako.
- Alibaba ni mahala salama ambapo makampuni yanajitangaza utapeli hakuna
- Pia fedha yako huwa ni salama uwapo utafuta taratibu za amalipo zilizo salama
Angalizo
- Usifanye malipo kwa njia ya moneygram au western union IWAPO MAWASILIANO YAKO NA SELLER ni nje ya mfumo wa mawasiliano wa ALIBABA, pia iwapo ni mara yako ya kwanza kufanya naye biashara huyo seller.
- Sio bei halisi kwa baadhi ya bidhaa.
- Na ni bei halisi kwa baadhi ya bidhaa.
- Ili kupata bei halisi , CIF, Ni lazima ufanye mawasiliano na selller akupe ghalama hasili ya kukufikishia bidhaa mahala ulipo.
- Hii hutegemea njia ya usafirishaji itakayotumika
- Kwa meli huwa ni kuanzia wiki 6 na zaidi hii ni kwa mizigo mikubwa, kutegemea mzigo umeshughulikiwa kwa haraka kiasia gani
- Kama itakuws ni njia ya EXPRESS huwa ni siku 7 - 9
na kama itatumika standard shipmend hii huwa ni siku 14 hadi 21
- Ni jukumu lako kujadilianana na seller njia sahihi wewe unayotaka bidhaa zako zisafirishwe.
- Alibaba hapa JF tayari imejadiliwa sana:
Karibu
- Bidhaa za Alibaba
- Naomba mrejesho kwa aliewahi kuagiza Alibaba
- What is Alibaba and how to avoid illegal suppliers there
- Alibaba ni matapeli au? Msaada please
- allibaba ndiyo ni nani?
www.bit.ly/101buy4me
AsanteAlibaba na aliexpress; Pamoja na mfumo wa alipay

Soma comments kwenye hii thread www.bit.ly/101buy4meHuwa nahisi kupigwa pesa zangu za madafu
Ok let me get there
Asante sana daah god bless u umenifunza mengi mnooAlibaba na aliexpress; Pamoja na mfumo wa alipay

Mkuu ebay ilinishinda jambo moja tu kuna bidhaa ambazo zinatumwa world wide sasa nikijaza tanzania kwenye setting inagoma huwa unafanyaje? Jee wanatuma direct tu bongo kwa bidhaa ambazo ni shipping world wide ?sio bei halisi muulize seller akwambie bei ya usafirishaji utachoka wanaweka bei za kuvutia wateja
lakini mimi naipenda ebay kabla haujanunua bidhaa unaukuwa umeshajua na bei ya usafirishaji na kama seller ana ship kwa nchi yako
wanaojua kuhusu alibaba watusaidie mana mimi naona upo complicated
Kwa ww ambae upo dodoma jifunze kununua vutu toka Dar kwanza kabla hujaamua kununua overseasNi mambo unayotakiwa uyatimize kabla hujawa mnunuzi rasmi wa mitandaoni, na yupi muuzaji salama kwa sisi wageni wa mitandao ili nianzie angalau kasaa kamoja au kasimu cheap kidogo niwape mrejesho baada ya kufanikiwa.
Na kwa uzoefu wako kwa hizo item nilizojaza nawepa kushika mkononi kwa bei gani na muda gani mpaka hapa nilipo Dodoma mjini.
Ukitaka upate urahisi na upate Bidhaa yoyote unayoitaka ambayo seller haitumi Bongo Tumia forwading company hizi kampuni ukishajisajili wanakupa anuani ya marekani unakwenda kuiongezea kwenye anuani yako ya Ebay au Amazon wakati unanunua kitu ambacho seller anatuma Us only unampa anuani hiyo uliyopewa na hao forward company kisha seller atatuma mzigo kwenye anuani hiyo ambayo itakuonyesha kama wewe upo marekani baada ya hapo mzigo ukiwafikia hao forward company watakujulisha kuwa mzigo wako umewafikia kisha wao watacalculate gharama za kuutuma kuja nchini kwako na watakupa option mbalimbali za kuusafirisha pamoja na siku ngapi utachukua mfano kuna DHL, USPSS(POSTA YA USA), FEDEX, TNT, N. K hapo itabaki ni wewe sasa mfuko wako na uwaraka wa mzigo wako mimi huwa nasafirisha kwa airmail economy ni 7$ ila mzigo unachukua wiki 3-4, kama nina haraka nao niatumia USPSS mzigo unatumia wiki moja hadi mbili 17$.Mkuu ebay ilinishinda jambo moja tu kuna bidhaa ambazo zinatumwa world wide sasa nikijaza tanzania kwenye setting inagoma huwa unafanyaje? Jee wanatuma direct tu bongo kwa bidhaa ambazo ni shipping world wide ?