toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,628
Wasalam wakuu
Kumekua na faida chungu mzima za kununua bidhaa mtandaoni hususan eBay,Amazon,aliexpress, na wengineo
Leo naomba nije na maswali kuhusu hawa alibaba
Kiukweli mimi nina uzoefu na aliexpress mno sasa nimekutana na hawa alibaba wana vitu cheap mno!
Mfano nimekutana cell phone mpaka za dola 6 tu
Nimeona pia bidhaa za rejareja humo ijapo most of companies kule wanauza za jumla
Vitu ni cheap yaan mpaka nimeshangaa
Sasa wakuu hawa jamaa ni waaminifu??
Malipo yao unawalipaje?
Vipi wanatuma bidhaa kweli?
Wanatumia njia gani kutuma mizigo??
Wanazo tracking number
Vipi ikitokea nimetapeliwa pesa zangu?
Bei walizoweka pale ni bei halisi?Au ni waongo wa bei??
Vipi mizigo na kutuma inachukua siku ngapi?
Huu uzi natumai utaelimisha mpaka wasiojua wajifunze
karibuni,,,