<br />tatizo ni kwamba 400mb ni kwa ajili ya smart phone lakini watu mnataka tumia kwenye laptop,sometimes katika laptop yako unakua una aoutstart application yaan ukiwasha tu nazo zinaanza ku run...hizi application ndizo zinazokuchakachua sio airtel,hivyo we kwa akili yako ndefu umalize bundle yako leo utake kujiunga uzuiliwe aumbiwe usubiri hadi mwisho wa mwezi...kwa hiyo fedha kampuni haiitaki ama...ningekushauri kama unataka ku force kutumia 400MB kifurushi kwenye laptop yako basi jaribu ku download operamin au browser yoyote ku reduce file size au kila baada ya kumaliza matumizi i disconnect modem yako pia hakikisha kwenye laptop yako hakuna any auto start application
<br />mkuu hapo utakuwa haukureply confirmation '<b>yes</b>' kukubali kujiunga ila 400MB ya Airtel inafaa kwa matumizi madogo madogo kama browsing facebook, jamiiforums nk. kwa mda mrefu, lakini kwa matumizi ya kudownload haifai itaisha mapema..speed yao ni nzuri throughout the package lifetime..Speed ya Bundle za Tigo 'light' kwa Arusha ni mbaya sana yaani hata kwenye simu kufungua page inachukua dakika moja nzima sijaelewa sababu, si ishu, package zao zingine ni expensive. kwa matumizi ya kudownload mafile makubwa, then package za Bomba7 na Bomba30 za vodacom ni afadhali japokuwa speed inakuwa kubwa pale mwanzoni unapojiunga na utakapoDownload zaidi ya 1.5GB kwa siku wanashusha connection bandwith, speed inapungua lakini sio mbaya sana ni afadhali kidogo kwakuwa ni <b>Unlimited</b>..zantel hawajapangilia package zao vizuri haiwezekani 250mb ni 6,000/=, 8,000/= na 10,000/= wakati airtel 400mb 2,500/=..kwa ttcl, sasatel sifahamu..
Mkuu sio 40MB bali ni 400MB na hawajasema ni za internet ya simu pekeyake bali hata kwenye modem unatumia, nikijibana hiyo 400mb inakaa wiki nanusu kubrowse kwenye computer,,,,mb40za 2500 ni kwaajili ya handset internet. Hizo za zantel ni kwa PC! Tena night **** mb za bure airtel ukiweka vocha unapewa mb200 free. Airtel ni noma, mi nashangaa wakuu wanailalamikia.