Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Mkuu hapo kwenye Red....Si kweli.wanacho kupa ni 400MB tu.Kwahiyo kama uta'download''/upload file zikifika hiyo limit(400mb) tu wanakukatia regardless umetumia dk15 au less.Jamani naomba mnisaidie labda nipo mbali na media,nilikuwa na nimejiunga na huduma ya Airtel ya 400MB ambayo huwa naitumia siku zote,ilipofika jana ikaisha leo saa 10 jioni nikajiunga tena kwa utaratibu uleule baada ya kuona nimeshapewa 400MB nikafungua page ya yahoo nakaanza kuatach mafaili flani wakati nataka kutuma net ikakata kuangalia salio najikuta nina 0MB balance nikashangaa maana nilikua sjamaliza hata nusu saa na sijadownload chochote,
nilipouliza uduma kwa wateja nikaambiwa kujiunga ni mara moja kwa mwezi na mwezi haujaisha toka nijiunge.ninavyojua mimi huduma ya 400MB ni no limit sasa je hii kitu ni kweli au wamenichakachua? Naogopa kujiunga tena nina wasiwasi na waudumu wa airtel
Nawasilisha.
Mkuu hapo kwenye Red....Si kweli.wanacho kupa ni 400MB tu.Kwahiyo kama uta'download''/upload file zikifika hiyo limit(400mb) tu wanakukatia regardless umetumia dk15 au less.
nadhan atakuwa anamaanisha 'no limit' ya mara ngapi unajiunga,na ni kwel,hata ikiisha siku hyo hyo unaweza ukasubscribe upya co lazma mwez uishe..
Wakimbie hao Airtel...ndugu yangu if that is the case.We umenipata vizuri mkuu ndo ninchomaanisha na huwa nafanya hivyo mara nyingi nashangaa leo kuambiwa eti mpk mwezi uishe ndo maana nasema hawa waudumu nao sijui kma wako compitent na kazi yao.
ukiambiwa umeomba kujiunga na mb400 jibu ndiyo kwenda 1544
ukiambiwa umeomba kujiunga na mb400 jibu ndiyo kwenda 1544