K Kaka maasai Member Joined Jul 26, 2026 Posts 84 Reaction score 193 Aug 3, 2026 #1 Daima upendo ni hisia nauwezi ukafosi ata kama unapesa upendo hautakaa kamwe upatikane
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,587 Reaction score 18,772 Aug 3, 2026 #2 Ni sahihi ila pesa ikikosekana upendo hupungua
D Dudu langu Senior Member Joined Jul 5, 2026 Posts 185 Reaction score 534 Aug 3, 2026 #3 Unataka kupendwa we Umekua Paka
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,694 Reaction score 22,567 Aug 3, 2026 #4 Kaka maasai said: Daima upendo ni hisia nauwezi ukafosi ata kama unapesa upendo hautakaa kamwe upatikane Click to expand... [scenario] Mwanamke kaolewa na asiye mpenda ( wazazi walihusika) Mwanamke kaolewa akiwa na Mimba ya wiki kadhaa toka kwa aliyempenda ( Maskini) Mwanamke alipo hitaji mtoto wa pili - Alimtafuta yule yule ampendaye ampe mimba - kwa kigezo hataki watoto wachanganye damu za baba tofauti. [Haya si yangu] Ni dondoo toka kwe nye hili sakata:
Kaka maasai said: Daima upendo ni hisia nauwezi ukafosi ata kama unapesa upendo hautakaa kamwe upatikane Click to expand... [scenario] Mwanamke kaolewa na asiye mpenda ( wazazi walihusika) Mwanamke kaolewa akiwa na Mimba ya wiki kadhaa toka kwa aliyempenda ( Maskini) Mwanamke alipo hitaji mtoto wa pili - Alimtafuta yule yule ampendaye ampe mimba - kwa kigezo hataki watoto wachanganye damu za baba tofauti. [Haya si yangu] Ni dondoo toka kwe nye hili sakata: