Hauwezi ukablock red sea kazi zisifanyike kisa tu dunia iogope ugaidi na itikadi zako

Sasa shida iko wapi wewe kama kidume pita red sea ukutane na wanaume wa kweli, wenzetu wanatumia tunu walizopewa vizuri na Mungu sio nyinyi watanzania hamjui kutumia rasilimali zenu za kipekee.
Hapo wahuni watapita na hamtakuwa na chakuwafanya. Nimekaa pale.
 
Back
Top Bottom