Hausegirl katushika pabaya

Lara1 kasema kweli maybe kwa kuongezea tu jitahid kwenda kufuta backup ya text zenu kwenye mitandao ya Simu then ndo u deal vizuri na house girl huyo,yaani issue ni kupoteza huo ushahidi
 
Hg usimpe pesa ndo utakuwa mchezo kila akiishiwa atarudi kutishia tafuta njia nyingine za kumalizana nae.

Huyu shemeji yako kama atapenda mtoto na mumewe mbona inawezekana tuu...kuna utaalamu wa kuchukua mbegu directly kutoka kwenye pumbu za mumewe i think india wanaweza that if kama unataka ndoa ya rafikiyo ibaki sidhani kama unataka ubaki na shemejio.

Otherwise pole...ila duu kila linalofinyika gizani sijui kwanini with time mambo yanakuwa hadharani
 

Na akimtokea akamnyima itajuwaje? Hujatoa plan B. Big up anyway Sister!

Kabla ya kwenda kwenye Plan B, Hii mchakato ya lara 1 inaweza kufanikiwa endapo na ikiwa tu huyu mzinzi hana mke....

Unajua kitatokea nini kama atakuwa na mke?? Huyu osigelo blakimeila.... (anaonekana kuwa mzoefu) Atakuwa amekosa milioni moja za wazinzi lakini hizi meseji akizitumia kumblakimeil mzinzi kwa mke wake?? Mzinzi atakuwa tayari ndoa yake ivunjike kama osigelo atakuja na deal jipya la 1.5m??

Kama mzinzi ana mke..... osigelo bado ana hold the four aces....
 
Ukijitahidi kidogo utaweza kubeba mikoba ya Irene Mwamfupe Ndauka.. kaza
 
Mzinzi mkubwa wewe, angekuwa ni mke wangu ningekukodia yale magaidi ya amboni yakuchome moto na kula nyama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…