Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,791
Ni pm namba ya huyo mwanamke nina dawa mumewe atapona
Hapo sawa kabisa huyo hausi gelo hana lolote zaidi ya mi genye inayomsumbua sumbua mpk wivu.Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.
Dawa ya beki tatu, we mtokee hakikisha una mbato, na kuna ushahidi wa kutosha wa picha na sms zinazoashiria mahusiano baina yenu. HATA ASEME WAPI, KWA NANI, ATUMIE AMPLIFAYA GANI HAKUNA ATAKAPO AMINIKA AS LONG AS UNA USHAHIDI UMEWAHI KUMPITIA. ITAONEKANA NI WIVU WAKE WA KIMAPENZI ANATUNGA TUNGA TU VITU, NA KUMCHAFUA MKE WA MTU. Ukimmbato credibility yake inaenda negative kabisaaaa.
Ukilogwa umpe hio pesa utatengeneza ushahidi afu kila siku atakuwa anataka hela zaidi. Mpaka sahivi bado kuna reasonable doubt ya kutosha tu. Fanya kama nilivokwambia. Kwanza utafaidi, maana watamu kweli wale kuku wa kienjeji, pili uatatua tatizo lako.
AMA KWELI SHETANI HATOKI MBALI UNAISHI NAE NA KUSHIRIKIANA NAE KILA KITU, AT TIMES NDO MSIRI WAKO!
na hao waliokutwa wapuuzi kweli...walisahau vipi kufunga mlango!!na kwanini wasipigie game chumbani au hata stoo!
we 64Bits unamfundisha nin imwenzako!!!! miss you my girl ujuwe!Wewe mwanaume mwambie mchepuko wako aibe cm ya hg halafu a copy namba muhimu kama za ndugu wa karibu wa huyo dada na majina. Kisha muite huyo hg mwambie aseme ila akimaliza hapo ahame dunia. Tena mwambie akisema familia yake ipo hatarini na taja kwa majina watu wake. Ukipata namba unaweza kufanya kama unatuma tigo pesa au mpesa kwenye hizo namba kupata full names zao. That should scare her. Ikiwezekana njoo na ka bastola uwe una kasafisha safisha wakati unazungumza. Be very brief and mean business then leave. Wewe ndo mpe deadline ya kuondoka hapo home la sivyo mwambie utamuonyesha! Teheee mie simo! Cc Eli79
Mwenye tatizo ni jamaa, unataka simu ya mwanamke ya nini?Ni pm namba ya huyo mwanamke nina dawa mumewe atapona
Kifupi Nyie Ni Wauwaji
Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.
Dawa ya beki tatu, we mtokee hakikisha una mbato, na kuna ushahidi wa kutosha wa picha na sms zinazoashiria mahusiano baina yenu. HATA ASEME WAPI, KWA NANI, ATUMIE AMPLIFAYA GANI HAKUNA ATAKAPO AMINIKA AS LONG AS UNA USHAHIDI UMEWAHI KUMPITIA. ITAONEKANA NI WIVU WAKE WA KIMAPENZI ANATUNGA TUNGA TU VITU, NA KUMCHAFUA MKE WA MTU. Ukimmbato credibility yake inaenda negative kabisaaaa.
Ukilogwa umpe hio pesa utatengeneza ushahidi afu kila siku atakuwa anataka hela zaidi. Mpaka sahivi bado kuna reasonable doubt ya kutosha tu. Fanya kama nilivokwambia. Kwanza utafaidi, maana watamu kweli wale kuku wa kienjeji, pili uatatua tatizo lako.
AMA KWELI SHETANI HATOKI MBALI UNAISHI NAE NA KUSHIRIKIANA NAE KILA KITU, AT TIMES NDO MSIRI WAKO!
Haya maLikes ulokula kwa hawa magriit thinkaz inaonekana ushauri wako ni kuntu....Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.