Hausegirl katushika pabaya

naunga mkono hoja...kwa nini asahau maelekezo ya boss wake...afukuzwe kazi mara moja huyo!

Nawao kwa nini watombane hawajafunga milango wala geti, inaonekana hawana uzoefu wa kuiba.
 
Mkuu msome Galadudu hapo juu kuhusu kutengeneza zengwe ili urafiki ambao ni karibu na "undugu" na huyo rafikiyo uendelee huku ukiendelea kumgegeda mkewe kwa raha zenu.

Besti vipi??! Mh
 
Reactions: BAK
Hivi huyo jamaa kama yuko huku siatajua! Bora ndugu uumbuke yaishe ukimpa huyo dada milion yako itakwenda bure na kushikwa utashikwatu, pole lakini kama ilikua ni bahati mbaya kule arusha mbona mmekuja kurudia huko dar? Mulikusudia na hapo kubali kushikwa tu yaishe baba.
 
Best nipo poa wala usishangae best, dunia imevaa pensi, pensi yenyewe kwenye makalio iko wazi kabisa. Juzi tumeona jamaa kamfumania baba yake na mkewe, huyu naye anasema kilevi kikamfanya atende kosa hilo linakubalika, sasa wamenogewa wamechonga mzinga na kumbuka Best za mwizi ni arobaini.

Besti vipi??! Mh
 
Umeona eeh! Kama hizi details alizoweka hapa ziko accurate 100% na jamaa ni mwanachama hapa, siri yote nje nje.

 

Inabidi ulevi upigwe ban....isiwe shidda
 
Da we jamaa muovu kabisa aisee!!!big up housekeeper!!!
 
hutaki kuharibu vipi ndoa ya mwenzio wakati ushaharibu??????
eti pombe???!!!
Afu sebuleni????!!!

uwiiii.....!!!!!!!
 
Inabidi jamaaa amtongoze huyo housegirl amle nayeye ili aneutralize mambo
 
Hehehe usipotoa hio 1 mill soon utajua kama hasimimishi kweli au lah!! Au hata kuita watu wamsaidie, umesema huko nyuma alikusaidia sana? Dah pole. Ila inategemea mmeshibana vipi anweza kukuelewa. Si heri umekula wewe wa karibu kuliko jitu la mbali.

aah wapi mkuu ile chakula hainaga cha mtu wa karibu wala wa wapi ni yakufaidi peke yako mkuu.
 
pole sana kiongozi !!! ucjevunja urafiki wenu na mshikaji kwa ajili ya mwanamke(mapenzi)
 
Mpigeni huyo housgirl biti kwa vitendo.....yaani ndani ya wiki hii mfuate tena mke wa jamaa mbele ya housegirl mpige na tongue kiss kama hamuogopi chochote vile
 
Duh huyu lara1 jamani ni noma. Martins Paul fuata hii kitu, utakuwa umemaliza mchezo mzima.

Ila dah, huyu mtu, Mweh!!

 

Shikamoo bingwa! Mwenye IQ kubwa ya mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…