Hatuwezi kuyavumia yanayoendelea wilayani Busega

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,080
Reaction score
12,300
Imetokea hali ya sintofahamu katika wilaya ya busega, watu wamekuwa wanakodi mabaunsa kwa lengo la kufanya fujo za kisiasa, hatujui lengo hasa la hawa watu. Siku zote tumekuwa tukifanya siasa za kistaarabu na tumekuwa tunaachiana uongozi pasipo vurugu.

Sasa hii hali ngeni iliyojitokeza hapana lazima suala hili lishughulikiwe, tuko katika mfumo wa vyama vingi siasa sio lazima uwe ccm tu, unaweza kwenda chadema cuf tlp au act kama kweli wananchi wanakupenda watakuchagua tu, yanini ukodi watu wa kupiga wengine, unapata faida gani unavyofanya mambo ya kihuni namna ile.
 
Busega ni kwetu sasa hali kama hii co nzuuuri kabsaaa,,nashukur sanaaa kwa kutujuza mkuu ngoja tuanze kushughulkia hii inshu kuanzia kesho mambo yatakuwa pouwa huyo kamani na mwenzake chegeni ugomvi wao usituletee sisi shidaa
 
Imetokea hali ya sintofahamu katika wilaya ya busega, watu wamekuwa wanakodi mabaunsa kwa lengo la kufanya fujo za kisiasa, hatujui lengo hasa la hawa watu. Siku zote tumekuwa tukifanya siasa za kistaarabu na tumekuwa tunaachiana uongozi pasipo vurugu.

Sasa hii hali ngeni iliyojitokeza hapana lazima suala hili lishughulikiwe, tuko katika mfumo wa vyama vingi siasa sio lazima uwe ccm tu, unaweza kwenda chadema cuf tlp au act kama kweli wananchi wanakupenda watakuchagua tu, yanini ukodi watu wa kupiga wengine, unapata faida gani unavyofanya mambo ya kihuni namna ile.
Mkuu funguka basi utuambie nani kakodi mabaunsa na dhidi ya nani na nani kapigwa na mabaunsa?
 
Back
Top Bottom