Hatuwezi kuwa na JF Bonanza?

inaonekana ww sio mkongwe sana JF.
haya mambo yameshakuwepo JF miaka hiyo kuanzia 2010 Kurudi nyuma

Haya mambo ua kutumia Fake ID/ Display name/ Alias ndio yanasababisha watu wasikutane maana sio watu wote wanafahamika kwa Majina yao halisi

Pia kuna baadhibya watu hawapendi kukutana kizembe, wanaogopa watu wasiojulikana
 
Inawezekana kukutana na kuenjoy, kama tatizo ni fake Id sio lazima kujitambulisha kule kuwa wewe ni nani na unatumia Id gani inatosha tu kujitambulisha kama ni mwanajf tu basi, kwa wanaopenda wajulikane inakuwa ni ruksa.
 
Back
Top Bottom