Hatuwezi kuvumiliana japo kiduchu?

GM kakuacha kwenye mataa chezea watoto ya mjini sasa naona umepagawa

we acha tu broda.
Hawa jamaa hawaangalii hata mipango yetu ya mbeleni kabla ya kutupiga ban, imagine kuna PM moja nilishindwa kuisoma kwa miezi mitatu, kila niki-log in naiona afu sijui kilichomo.
Kuhusu avatar mantakhof broda, ombi lako limefika.
 
Pole bro mphamvu, mambo yapo namna hiyo, uvumilivu ni daraja muhimu la kua mstaarabu.
 
Pole bro mphamvu, mambo yapo namna hiyo, uvumilivu ni daraja muhimu la kua mstaarabu.

uzuri mie sio mstaarabu as long as ustaarabu ni variable item...
Ila nataka tubadili standards za ustaarabu humu JF.
 
uzuri mie sio mstaarabu as long as ustaarabu ni variable item...
Ila nataka tubadili standards za ustaarabu humu JF.

We kijana mbishi..nimependa unavyokomaa kwenye kile unachokiamini...kama watu wa kwetu kuleee
 
We kijana mbishi..nimependa unavyokomaa kwenye kile unachokiamini...kama watu wa kwetu kuleee

yeah.
Inatokea mara nyingine kuwa siko sahihi, lakini huwa ninasimamia ninachokiamini, just as you said. Unless mtu aje na convicing factors, sio ule ubishi wa ndio au hapana, I RARELY BOW DON!
 
Back
Top Bottom