Hatuwezi kuvumiliana japo kiduchu?

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Namaanisha niyasemayo.
Kama tumeweza kumvumilia Mchambuzi na yale mathread yake marefu kama pasi za Liverpool, na kama imewezekana kuwavumilia FF, MaxShimba et al na udini wao karibu every post they make, tumevumilia signature ya Invisible ambayo ni kejeli ya waziwazi, licha ya kwamba imeambatana na Mail adress ambayo ni bosheni.
List goes on,
tumevumilia hawa maselebriti wa Chit-Chat na MMU ambao licha ya kuwa na posts na like za kumwaga, 75%> ya post zao ni pumba. Tumeweza kumvumilia Mwanakijiji, who posts nothing but siasa, tumemvumilia Dr. W. Slaa (wa JF), who never give a damn visit kwa jukwaa la Chit-Chat, even a single visit? Tumeivumilia thread ya Arsenal, iliyo ndefu kuliko zote humu JF, with more than 15'000 posts and several k's views...
Aah, tumeweza kumvumilia my 'ONE AND ONLY', G. Mpolee na ID zake tatu humu jamvini...
Why the same uvumilivu usiwe kwa Mphamvu, don't you see that hayo mnayoyaita matusi ni sehemu ya 'repetoir' yangu?
Nakula ban ya 5 sasa kwa ajili ya hayo matusi, jamani?
Ni wakati wa mods, admins na member kunivumilia kidogo.
I am badly in need of your tolerance, TIRED OF PRETENDING!
 
Ehehehehe duuh leo umeamua kutoa dukuduku lako.. Hopefully admins imewahusu hiyo kitu.. Mi nakukubali kisirisiri hukuwahi kujuaga tu jembe
 
Ehehehehe duuh leo umeamua kutoa dukuduku lako.. Hopefully admins imewahusu hiyo kitu.. Mi nakukubali kisirisiri hukuwahi kujuaga tu jembe

mi ni mtu wa kufunguka siku zote, ila la leo limenigusa kwa sana.
Nashukuru kwa kuwa wazi kuna unanizimia, hata hao wanaodiss huwa wamekubali kiaina.
Thanks once again mkuu...
 
GM kakuacha kwenye mataa chezea watoto ya mjini sasa naona umepagawa
 
Nilisikitika walivyokupiga ban to be honest..kuna mambo chungu mbovu humu yanapita hivihivi tunavumilia.Nakumbuka last time mlikuwa mnapanga na G.Mpolee kumsuta mbea wenu..loh ghafla upo kifuani....we mkale,Nitonye analia tu.

Ushauri mwingine,rudisha ile avatar uliyonyoa kiduku..its your brand men
 
Pole sana. Sasa kwa nini unatukana na unajua ni kinyume na rules za JF? hao wengine wanaovumiliwa wanatoa povu ila hawavunji sheria. na wewe jaribu basi.
 
Mzazi Mp!
Pole na mikasa yote, ila na wewe unge wavumilia kama wao wanavyowavumilia hao uliowataja!
Si unajua life huwezi ukapata kila unachotaka!
 
Mzazi Mp!
Pole na mikasa yote, ila na wewe unge wavumilia kama wao wanavyowavumilia hao uliowataja!
Si unajua life huwezi ukapata kila unachotaka!

nashukuru sana mkuu.
Ila fo sho, I hate double standards. JF sio msahafu hata usibadilike, dunia pia imebadilika mkuu, sheria zipo ili ziwafae watu, na sio watu wazifae, thats why zinabadilika kila mara.
Sijui kwanini watawala wa JF wanakuwa na shingo ngumu hivi?
 
Pole sana. Sasa kwa nini unatukana na unajua ni kinyume na rules za JF? hao wengine wanaovumiliwa wanatoa povu ila hawavunji sheria. na wewe jaribu basi.

uzuri ni kuwa JF inaakisi uhalisia wa mwananchi wa kawaida, akiwemo mimi. Sasa kama ndivyo tulivyo kwanini tusiwachwe tukaishi maisha yetu halisi badala ya kuleta U-Hollywood humu.
Kuhusu hao, nimewa-cite ili kuleta uhalisi wa hoja yangu.
Nahitaji sana uvumilivu wenu...
 
Back
Top Bottom