Halafu kitu kinachonishangaza zaidi, hawa hawa wazungu ndo alituletea hizi dini na kuyaainisha mambo ambayo ni mabaya likiwemo hili la ushoga, wakatumia dini zao kutulaghai wakatutawala, leo hii wanataka kurudi na kuyakana maandiko waliyoyaandika wao na kuyapa ubaya wakitaka kuyahalalisha. Haya na tuone sasa pengine ndo wanataka kutuamnisha kuwa utabiri waliouandika ndo unatimia....