Achana na hayo yote kwanza,. Hivi hizi bei za mazao kweli zinalenga kunufaisha wakulima au kutukandamiza?,. Nadhani mngeanza kuzungumzia hili hayo majembe yatapatikana kwa namna nyingine
MIezi kadhaa iliyopita gunia la kitunguu liliuzwa laki 3 na bado demand ilikua kubwa. Leo mpaka naandika hapa gunia linauzwa 30k-40k na bado wateja hakuna. Mtakuja kusema mambo ya Demand na Supply.

Yaani we acha tu,. Mahindi saizi wanasema bei ya serikali ni Tsh 700,. Lakini hata haijulikani hiyo ni bei ya wapi na ni soko gani,. Maana kote wanataka kununua kwa Tsh 370–450 @kg,. What the hell
Inaogopesha sana mkuu,. Bei za pembejeo na bei ya zao haziwiani hata kidogo hadi mtu unajiuliza inamaana hii nchi wakulima ndio hatuna thamani kiasi hiko,. Kama serikali imeshindwa kununua kwa bei itakayomnufaisha mkulima ni heri wakafungua tu mipaka kama miaka iliyopita watu tukauze kenya