Hatutumiagi condom na mpenzi wangu, lakini kila nikipekua nguo zake nakuta pakiti ya condom pungufu

Hii story haikuhusu wewe kweli? Unamsingizia dada wa wtu bure..nimesoma title nikagundua kitu...Hahahah..Anyways pole sana ndio mapenzi ya siku hizi uaminifu ni sifuri
 
Mdada anasimulia leo kazini, kila akipekua nguo za mpenzi wake anakutana na pakiti pungufu ya Condom.

Mara ya kwanza kuzikuta alimuuliza, Jamaa akasema sio zake za rafiki yake, kuna kipindi alisafiri akamwachia nyumba rafiki yake amwangalizie kwaiyo akapata sababu.

Jana wakati anafua nguo akawa anapekua kwenye mifuko ya suruali, akakutana na pakiti tupu ya Condom, anasema alichofanya akakichukua akakiweka kitandani.

Hajamuuliza wala Mwanaume hajaongelea kitu, kafanya kama hajaona iyo pakiti iliyowekwa kitandani.

Yupo kwenye ushindani na Nafsi yake hajui aamue lipi.

Mimi binafsi nimemwambia ashukuru Jamaa anakumbuka kuvaa soksi anakozurura, wanaume wote hawajatulia asimwache atulie.

Ila ningekuwa mimi ndokwanza ningemnunulia boksi zima namuwekea asipate shida.

Bora huyo mumewe anajikinga
 
Mama solomonii usilalamike je angakua hatumii si angeshakuua na miwaya,ukiona hvyo jua wewe ni future wife so hataki kukuumiza na kukupoteza jumla
 
Mdada anasimulia leo kazini, kila akipekua nguo za mpenzi wake anakutana na pakiti pungufu ya Condom.

Mara ya kwanza kuzikuta alimuuliza, Jamaa akasema sio zake za rafiki yake, kuna kipindi alisafiri akamwachia nyumba rafiki yake amwangalizie kwaiyo akapata sababu.

Jana wakati anafua nguo akawa anapekua kwenye mifuko ya suruali, akakutana na pakiti tupu ya Condom, anasema alichofanya akakichukua akakiweka kitandani.

Hajamuuliza wala Mwanaume hajaongelea kitu, kafanya kama hajaona iyo pakiti iliyowekwa kitandani.

Yupo kwenye ushindani na Nafsi yake hajui aamue lipi.

Mimi binafsi nimemwambia ashukuru Jamaa anakumbuka kuvaa soksi anakozurura, wanaume wote hawajatulia asimwache atulie.

Ila ningekuwa mimi ndokwanza ningemnunulia boksi zima namuwekea asipate shida.
Unaonekana wewe ni mwanamke Mwenye busara. Rafiki yako alipaswa atoe Shukrani na Sadaka kwamba huyo jamaa anampenda na kumlinda. Kutotumia condom ni janga kubwa katika jamii kwa sasa.
 
Kuna sehemu katika uzi wako umesema kuwa wanaume wote hawajatulia, ni vyema ukatuomba radhi mara moja!
 
Labda jamaa yake anapenda Condom ila huyo rafiki yako hapendi thts why jamaa anaenda kwingine teh teh teh.

Mshauri rafiki yako aanze kutumia condom na jamaa yake.
 
Hii story haikuhusu wewe kweli? Unamsingizia dada wa wtu bure..nimesoma title nikagundua kitu...Hahahah..Anyways pole sana ndio mapenzi ya siku hizi uaminifu ni sifuri
Hiyo ni aina ya uhandishi Mkuu kama msomaji mzuri hata wa Magazeti huwezi kushangaa.
 
Anakupima tuu imani je we ni wife material kweli uvumilivu unao, na ww ukiwa na akili za kushikiwa ndo utaharibu kabisa
 
Kama huyo dada kwa kiasi flani ni mzinguaji kweny kutoa game, ajaribu kubadili mfumo some times analegeza kidogo,

Hata jamaa atajiongeza tuuuu....

Kumbuka.

In any action there is an equal and opposite reaction.

Think big.
 
Najua story ni ya kwako binafsi. Ushauri wangu ni kwamba mshukuru Mungu maana anakumbuka kutumia ndomu. Pili, mwulize vipi kuhusu kuoana ili aanze kuwa serious na wewe. Alternatively, humshibishi....
 
hichi kitu nishakutana nacho

unaweza usiwe na mpango ila unakutana na zali alafu bwana mdogo akisimama ndo hapo mnatafuta gesti iliyo karibu.

wake zetu msipende kutuchunga sisi ndo tuwa chunge nyie
 
We na mpenzi wako huwa hamutumiagi kondomu Sasa ulijuaje kama kondomu hiring ni pungufu kwa kwa kawaida huwa Zina Kaa ngapi?
 
Mwambie amwambie jamaa aongeze umakini maana kila anapokuta manyoya huwa anaumia moyo/ na kumpa stress.
 
Back
Top Bottom