Hatutamuogopa Dewji Singida Mjini

Hatutamuogopa Dewji Singida Mjini

ADRIAN

Senior Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
113
Reaction score
27
Katika Maisha Yangu Sijawahi Kujidharau, Sitawahi Kujidharau Kamwe.

Kuna Watu Wanadhani Dewji Hawezi Kushindwa Ubunge Na Mtu Wa Kawaida. Watu Wanadhani Dewji Kwa Singida Mjini Anakubalika Sana Kiasi Kwamba Watu Waogope Kushindana Naye Kwenye Nafasi Ya Ubunge.

Wanaodhani Dewji Hawezi Kung'olewa, Ni wale Wanaoishi Mikoa Mingine Au Wapita Njia. Ukweli Ni Kwamba Dewji Tunamng'oa Kwenye Nafasi Ya Ubunge Labda Tuwe Na Mikakati Dhaifu.

Ushindi Wowote Ni Mikakati Thabiti Na Wala Sio Pesa Za Mtu Alizonazo. Ushindi Ni Kujadili Masuala Ya Wananchi Na Si Kujadili Pesa Walizo Nazo Watu.

Kwa Mfano, Ukienda Hospitali Ya Mkoa Hakuna Mashine Ya X-ray Kwa Muda Takribani Miaka Mitano Sasa, Ukipita Barabara Za Viwanda Vidogo Vya SIDO Ni Mbovu Kupita Kiasi, Ukipita Barabara Za Shule Za Bomani Na Sabasaba, Tcrs, Nk Utatamani Kutoa Machozi, Twende Kwenye Elimu Ni Homa Kali, Nenda Soko Kuu Wakati Wa Mvua Hutatamani Kununua Kitu Pale.
Uwanja Wa Namfua Umeshindikana.

Nachoweza Kusema Ni Kwamba Hatumuogopi Tutamng'oa Tu.
 
Dewji yuko busy na biashara yake!!matatizo ya wananchi hayamhusu kabisa
 
Hahaha jaribu halafu October uje na majibu kama hutapata kura yako mwenyewe hata mkeo hatakupa kura
 
Unamfaham dewji au unamjua?yan hata mke na watoto wako watampigia kura

Mkuu we unamjuaje deuji mbona huo mkoa ni masikini sana hao wanyaturu wanampendea nini?
Au wanapenda tu hizo nywele zake?
 
hivi wewe ndo yule uliyetoa tamko jana la kugombea ubunge singida lakini kwenye tamko lako ukaishia kuzungumzia ajali uliyopata na kulazwa hosipitali ya bahi na kuutaarifu umma kuwa dada yako kaolewa na mbunge kafulila? kiukweli ni kuwa huna sifa za kuwa mbunge. hata kama wanasingida hawamtaki huyo Dewji basi wasifanye kosa kukuchaguea wewe empty headed. watafute mbunge makini. sio wewe aslani. sorry!

Back
Top Bottom