Hatutakusahau Mwaka 2020 hakika

Hatutakusahau Mwaka 2020 hakika

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,855
2020
1.Corona
2.World War 3
3.Yanga kuifunga Simba mbele ya raisi
4.Simba kulipa kisasi
5.Madrid kuifunga Barcelona
6.Mvua kubwa za mafuriko haijawahi tokea
7.Sakata la Wajumbe
8.Mwaka wa Uchaguzi
9.Kurejea kwa Lissu
10.Makonda kuacha kazi kutafuta kazi na kukosa kazi
11.Laizer kutajirika
13.Uchumi wa Kati?
14.Kifo Cha Mkapa
15.Kifo cha Nkurunziza
16.Tetemeko la Ardhi
17.Anguko la kiuchumi duniani
18.Sakata la Bernard Morrison
19.Black Lives Matter
20.Shambulio la Beirut
 
Namba 10...
Ni ya kwanza kwangu...

Everyday is Saturday............................ 😎
 
Huu mwaka ukifanikiwa kuchomoka, chinja mifugo yote damu yake uwanyunyizie mizimu yenu. Si mchezo
 
Mwaka ulivyoanza hapo January tulikuwa excited kuingia a new decade , believing kuwa 2020 will be a great year kumbe mambo ni mengine kabisa tuombe rehema kwa Mungu atupiganie katika yote .
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Hiyo Madrid kuifunga Barcelona sio jambo la ajabu kivile

1995 kashinda 5-0
1996 kashinda 2-0
2000 kashinda 3-0
2001 kashinda 2-0
2003 kashinda 2-1
2005 kashinda 4-2
2006 kashinda 2-0
2011 kashinda 1-0
2012 kashinda 2-1
2013 kashinda 2-1
2014 kashinda 2-1
2015 kashinda 2-1
2017 kashinda mara mbili 3-1 na 2-0


2,6 na 8 🙄🙄
 
Hiyo Madrid kuifunga Barcelona sio jambo la ajabu kivile

1995 kashinda 5-0
1996 kashinda 2-0
2000 kashinda 3-0
2001 kashinda 2-0
2003 kashinda 2-1
2005 kashinda 4-2
2006 kashinda 2-0
2011 kashinda 1-0
2012 kashinda 2-1
2013 kashinda 2-1
2014 kashinda 2-1
2015 kashinda 2-1
2017 kashinda mara mbili 3-1 na 2-0


2,6 na 8
Ohh ladies know about soccer
OMG!
 
Yani hapo nimekumbuka Corona anguko la uchumi na tetemeko la ardhi.. ahsante kwa kunikumbusha na mengineyo
 
Umesahau kifo Cha Kobi Brayant ( The basketball legend)na mwanae Gigi.
Nakumbuka Stephen Cury alipohojiwa na waandishi wa habari alisema anatamani mwaka 2020 uhailishwe ,kila linalotokea amenifanya niwaze Stephen aliwaza nn mpk kusema 2020 ihailishwe.
Wanaosema 2020 uhailishwe na Mungu gonga like!
 
Bila kusau kuwa huu ndio mwaka nime-download nyimbo kwa ajili ya kusikiliza kwenye gari ntakalonunua 2050
 
Back
Top Bottom