Hatutaki Ujinga ujue?

Yaani hako kandege hakana mvuto kabisa!
Ila mwanzo mgumu!!! Tutafika tu na sisi. Tusitake kujilinganisha na mashirika yalioendelea. Ni kama vile mtu alivunjika mguu, akafungwa P.O.P na baada ya miezi kadhaa akapona. Hatoweza tembea kama zamani hapohapo... Itachukua mda.
Tujipongeze kwa hatua tuliochukua.
 
Jamani lazima tujipime angalieni wapandaji ndege za ndani ni wangapi? ununue Airbus kama za fast jet utakua waenda Kia Songwe, na Dar tu while with this small palnes una expand your destinations
 
Hapa kweli wananchi tumeongopewa haiwezekani baada ya kupiga hatua mbele ndio tunapiga hatua nyuma au ndio anaangalia wingi na sio ubora
 
Nimeongea na Mushi, fundi wa kutengeneza seat covers pale Mwenge akaipime ile Eicher iliyozinduliwa jana kwenye mvua walau seat zivishwe leather. Maana iko kama DCM za Gongo La Mbali - Kivukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…