Hatupendi ila tutafanyaje

Halafu dogo una andika ujinga mwingi Sana, kwa style hii una tegemea nani akupe mchongo?.

for real kuli kuwa na ka kitengo nakaona, ila una safari ndefu mzee
🀣🀣🀣Ila kiongozi we mjuaji sana

Tuendelee na mambo ya chama usije ukanifukuza kundini
 
Alie shiba anatokea tu uko eti VETA je kijana akitoka uko anaenda wapi?
KAZI ni kipimo cha utu
Wanachukulia poa sana kama hawawezi kusaidia vijana Bora wanyamaze tu kuliko kuwakandamiza
 
🀣🀣🀣Ila kiongozi we mjuaji sana

Tuendelee na mambo ya chama usije ukanifukuza kundini
For real naku tambulisha vipi Kwa mtu, kuwa akupe hata ka kitengo ka deiwaka?

wakati nyuzi zako una andika u lofa u lofa?,, stay positive Mambo yata tick, stay negative uendelee kula stick.
 
Una omba kazi una amrisha?, halafu huoni Kama Umesha reveal we ni mtu wa aina gani?
🀣🀣🀣 Kiongozi me sina shida ya kazi.....kuwa mtu wa namna Gani na fake I'd haupo serious....nikitaka kuwa mtu mwengine tena SI na switch I'dπŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…