Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
ndoa ya mda gani hiyo
mbona enzio wananuniwa miezi na wako poa tu...

watu huwa wanaboreka na maongezi yale yale sometimes
kama ana stress anataka space
sio wewe uanze kujifanya unataka attention kama mtoto mchanga

si aseme tu kwamba ahitaji usumbufu kununa ndo nini!
 
Kiu yako iko kwake ndio nini sasa dada! Mbona tunafanyiana hivyo? Umetupa hamasa harafu unatugeuka? Mnaishi wapi kwani

hahaha! We rijamaa acha uroho wa senjele!!
 
The Boss ndoa ya miaka mitatu hajawahi kufanya ujinga huu hata siku moja.

Miaka mitatu ni midogo mno kwenye ndoa
bado mna safari ndefu ya kujuana vizuri
yaani huo unaouita ujinga ni cha mtoto
kuna mengi yatakuja
subiri ipite miaka saba ndo utashangaa zaidi
 
si kitoweo kimekuja kutafuta mamba au huoni? lol
Amekutana na mageni akaja kutafuta ushauri kwa ambao wameshawahi kununiwa au wenye tabia ya kununia wenzi wao
 
si aseme tu kwamba ahitaji usumbufu kununa ndo nini!

Kusema ukiwa na hasira unaweza piga mtu risasi
bora unune kwanza hadi hasira iishe ndo uanze talk

hiyo staili yako ya kumvamia mtu bafuni mnhhhh mi chichemi
 
Kiu yako iko kwake ndio nini sasa dada! Mbona tunafanyiana hivyo? Umetupa hamasa harafu unatugeuka? Mnaishi wapi kwani

Aiseeeee....... jamaa wewe umedhamiria..
 
Ni kawaida yenu kupata cha asbh lakin?... maana kuna watu wengine asbh hawapendi (kama mimi)...

Hakuna swali hapo cha asubuhi kina kawaida ya kutengeneza dira ya siku nzima
 
Huwa inatokea hiyo,hata mimi hunipata hali kama hiyo kabisa.Tulia atajirudi tu,kwa mfano mie mtoto wa watu huanza KULIA,hapo ndo huwa naguswa sn najirudi then mgegedo utakaofuata hapo! ataogopa kwenda kukojoa ni hatari.So anavutia kasi huyo take care Sista.
 
Last edited by a moderator:
Omba ruhusa uje kwangu akikuruhusu nibip nikupigie
 
Akili yangu haijakaa vizuri bora anipe tu kisha aendelee kununa
 
Kusema ukiwa na hasira unaweza piga mtu risasi
bora unune kwanza hadi hasira iishe ndo uanze talk

hiyo staili yako ya kumvamia mtu bafuni mnhhhh mi chichemi

Na.bafu inategemea mkuu The Boss mabafu mengine kukanyaga tu kwa step ndio utacharaza nyuzi???!!!
 
Last edited by a moderator:
Kusema ukiwa na hasira unaweza piga mtu risasi
bora unune kwanza hadi hasira iishe ndo uanze talk

hiyo staili yako ya kumvamia mtu bafuni mnhhhh mi chichemi

sometimes mtu akijifanya hajielewi huwa na mimi namtafutia pa kumkamatia.kwa sababu kweli mood zingine mmmhh hapana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…