Hatuongei siku ya tatu leo

Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
3,208
Reaction score
1,038
Jana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?

Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto? Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates hawataniacha

Smile Nyani Ngabu Heaven on Earth Washawasha sister Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if possible Broken soul mimi49 Mrembo by Nature watu8 mwekundu miss chagga tinna cute Simplicity Eiyer etc
 
Last edited by a moderator:
Utatupa Feed Bak, Halafu Ngoja Niku Pm Kama Umezamilia....... Pole Sana Dada Angu
 
Dah!!! wanaume wengine bana!!!! Wanasusia mpaka papuchi!!!! Halafu wakimgegedea sijui atamlaumu nani!!!
 
ni pm unapatikana wapi ili nije tuitoe kwanza hiyo hamu,halafu ndo nitatoa ushauri
 
Dah!!! wanaume wengine bana!!!! Wanasusia mpaka papuchi!!!! Halafu wakimgegedea sijui atamlaumu nani!!!

BAK niombee mbyeenzi antie nguvu sitaki kufika huko
 
Last edited by a moderator:
Jana na juzi mume wangu
karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko
alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa.
chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba
kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika
popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya
leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa
na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?

Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto?
Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na
leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment
thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM
nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates
hawataniacha

Smile Nyani Ngabu
Heaven on Earth
Washawasha sister
Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if
possible Broken soul
mimi49 Mrembo by
Nature
watu8
mwekundu miss
chagga
tinna cute
Simplicity Eiyer
etc

haha haaaa... usijali bibie ni kawaida sana.

sishauri ulipize mapigo, unaweza kuzungumza nae kwa upole atakwambia wapi kuna shida.

ukilipiza inabidi uwe smart kweli kweli tehe.. but haijengi hata kidogo u can bring other problems.
 
Last edited by a moderator:
Miezi ya nyuma kuna jamaa alikuja hapa na kuandika kuhusu ugomvi wa mama yake na mkewe. Akasusa kula nyumbani na kumpa mkewe haki yake. Hapa alidhani watu watampa support lakini walimsemea hovyo ile mbaya maana mke ilifikia mpaka kumuomba mumewe amtafutie mwanaume wa kumpa haki yake. Hajarudi tena au alibadili ID. I hope mumeo hatasusia papuchi kwa muda mrefu na kukupa haki yako unayostahili kama mke. Pole sana na kila la heri.

BAK niombee mbyeenzi antie nguvu sitaki kufika huko
 
haha haaaa... usijali bibie ni kawaida sana.

sishauri ulipize mapigo, unaweza kuzungumza nae kwa upole atakwambia wapi kuna shida.

ukilipiza inabidi uwe smart kweli kweli tehe.. but haijengi hata kidogo u can bring other problems.

mimi naona kafika mbali. angenuna hata mwaka. basi hata chakula asinipe. ila kwenye haki yangu ni muhimu sana
 
Miezi ya nyuma kuna jamaa alikuja hapa na kuandika kuhusu ugomvi wa mama yake na mkewe. Akasusa kula nyumbani na kumpa mkewe haki yake. Hapa alidhani watu watampa support lakini walimsemea hovyo ile mbaya maana mke ilifikia mpaka kumuomba mumewe amtafutie mwanaume wa kumpa haki yake. Hajarudi tena au alibadili ID. I hope mumeo hatasusia papuchi kwa muda mrefu na kukupa haki yako unayostahili kama mke. Pole sana na kila la heri.

haki ni muhimu ukizingatia ni weekend
 
Atatulia tu au pengine amesikia habari mbaya kuhusu wewe. Jaribu kujishusha na kuwa mpole mwishowe atakuambia why kawa vile. Pole sana mama
 
mimi naona kafika mbali. angenuna hata mwaka. basi hata chakula asinipe. ila kwenye haki yangu ni muhimu sana

But Sista, mtu aunalala nae unashindwa kumbaka?
 
Last edited by a moderator:
...mpe makavu...mwanaume ananuna hovyohovyo
 
Kiu yako iko kwake ndio nini sasa dada! Mbona tunafanyiana hivyo? Umetupa hamasa harafu unatugeuka? Mnaishi wapi kwani
 
Last edited by a moderator:
...mpe makavu...mwanaume ananuna hovyohovyo

Hahaha dada mapenzi hayataki ubabe naogopa kununua ugomvi. angekuwa mstaarabu angeshare na mimi kipenzi chake
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom