Narejea kwako Sam Mahela na mbwembwe zako eti Agasti Nane hatuna neno Agasti tuna Agosti nimeshawasikia waandishi wengi wa runinga na redio mnakosea kuutamka huu mwezi...Sam nimemrejea tu kama mfano jirekebisheni pamoja na mnaochanganya L na R, msiharibu lugha nyie wanahabari
Unamsahihisha Kwakutumia Nn, Kamusi Au Dictionary? Mm Nngemshauri Atumie Neno " Mwezi Wa Nane" Au Unasemaje Mdau, Vnginevyo Pelekeni Jukwaa La Lugha Ndo Utakutana Na Waagost Wenzio.