Kabisa vitu vingi vimepoteza thamani kabisa hata kwa wenye ukwasi hawana raha. Vyakula havina ladha, miziki inaboa kila kitu kimekuwa kawaida tu. Tunahitaji kujitenga na malimwengu ili kujenga upya hisia zetu watu wengi wamekuwa ma-hedonistsSasa hivi yaani hakuna raha kabisa
Maisha yamekuwa fast paced..
Dopamine imekuwa cheap kiasi kwamba mambo yalotupa furaha zamani leo tunayaona ya kawaida
We used to play game with floopy disks, leo hata smartphone ina games tena 3D kabisa
View attachment 3618629
Music was sold on cassette leo una download kwa sekunde tu una sikiliza..
Alaf hata mziki wenyewe hau enjoy, bado hapo hapo message zinaingia, magroup ya Whatsapp, telegram, mara imepigiwa video call
Jaman this is too much, the things we consume on a daily basis are making us dumb.
Tumezidiwa na mashine kwa sababu hatujui madhara ya kuwa distracted, una loose focus, kumbukumbu inakuwa tinkered.
Mimi Nahisi kabisa tunaelekea kuwa nihilistic, kila kitu kitafanya mashine na sisi hatua kuwa na thamani because tumeruhusu autonomy yetu iwe replaced by automation
We were not meant for this.
Hakika (mahedinists) hawana kosa maana hamna Radha kwenye vitu vingii na hakuna way out, maisha ya nahitaji u adapt piaKabisa vitu vingi vimepoteza thamani kabisa hata kwa wenye ukwasi hawana raha. Vyakula havina ladha, miziki inaboa kila kitu kimekuwa kawaida tu. Tunahitaji kujitenga na malimwengu ili kujenga upya hisia zetu watu wengi wamekuwa ma-hedonists
Mimi naona peak ya good life iliisha 2013..Nikiulizwa kipindi gani niliinjoy maisha, ningesema kuanzi mwaka 1995 (miaka 7) mpka mwaka 2003 basi!
Since then ni stressful tu 😁
Meno 32 yote nje! Ningekwambia tofauti tungekesha mpaka asubuhiShukran mtani
Man umenipa nostalgia nzuri sana😂...sema ile unapakua mziki waptrick inafika 99.5% alafu ina fail ilikuwa na hisia flani nzuri sana huzuni imejichanganya na furaha flani kwa mbali (huku unatukana kimtindo)
Hata jinsi zamani kulikuwa na zile ulbum za kuweka picha maybe za harusi tu, au kipaimara, au kumaliza shule.. Yaani hata jinsi unavyo Anza kuzi angalia unakuwa focused kabisa sio kama leo, una swipe within seconds... Ile intimacy ya physical object haipo tena siku hizileo picha zile zimekuwa kumbukumbu nzuri sana, watoto wetu wakioneshwa wanashangaa sana
NamnaSasa hivi yaani hakuna raha kabisa
Maisha yamekuwa fast paced..
Dopamine imekuwa cheap kiasi kwamba mambo yalotupa furaha zamani leo tunayaona ya kawaida
We used to play game with floopy disks, leo hata smartphone ina games tena 3D kabisa
View attachment 3618629
Music was sold on cassette leo una download kwa sekunde tu una sikiliza..
Alaf hata mziki wenyewe hau enjoy, bado hapo hapo message zinaingia, magroup ya Whatsapp, telegram, mara imepigiwa video call
Jaman this is too much, the things we consume on a daily basis are making us dumb.
Tumezidiwa na mashine kwa sababu hatujui madhara ya kuwa distracted, una loose focus, kumbukumbu inakuwa tinkered.
Mimi Nahisi kabisa tunaelekea kuwa nihilistic, kila kitu kitafanya mashine na sisi hatua kuwa na thamani because tumeruhusu autonomy yetu iwe replaced by automation
We were not meant for this.
Kwa tafsiri yako nini maana ya REAL PLEASURE??na ubongo wa mwanadamu umeumbiwa stimulation kwa kiwango gani?Hiyo unayo ita enjoyment ni being distracted from real pleasure.. Ubongo wa mwanadamu hauku umbiwa this loads of constant stimulation