Hatujaiwasha Mitambo Ya Dowans: Tanesco. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatujaiwasha Mitambo Ya Dowans: Tanesco.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, Feb 23, 2011.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania(TANESCO),William Mhando(Kulia) akizungumza na waandishi wa habari,leo katika Ofisi Ndogo za Bunge,Dar es Salaam,ambapo akanusha habari kuwa mitambo ya ya kufua umeme ya Dowans imewashwa ili kusaidia kupunguza mgawo wa umeme.(Picha:Richard Mwaikenda)
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ulitegemea wasemeje?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mgao umepungua kidogo,so ndo mvua?
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Labda wamemshitukia January anataka kuwaingiza mkenge.
   
Loading...