Hao wote walikuwa wana-contest seat moja
Katika siasa za CCM si jambo jipya maana tumeona hata watu wakiitwa sio "wazawa" (refer 2005) lakini baada ya mapendekezo mambo huwa tofauti
Katika ulimwengu wa ushindani ambao unajengwa katika hoja mfu na za majitaka hili si jambo la kushangaza....na ndivyo CCM mlivyoleana